Recent content by mogitete

  1. mogitete

    Nape Nnauye nadhani hajui, na kama anajua basi anajifanya nunda

    Mtoa maada nahisi unaumia sana maana yale Nape aliyowashauri kuhusu koroshow yametimia,sasa mnahaha kuona ameshinda kabla mechi haijaisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mogitete

    Nani ni Nani jimbo la Serengeti 2020, Stephen Kebwe au Charles Moremi?

    Achana naye anampimia charles upepo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mogitete

    Nani ni Nani jimbo la Serengeti 2020, Stephen Kebwe au Charles Moremi?

    Charles Moremi nimejikuta nacheka kwa sauti,lakini siyo vibaya maana kwa mbinu hiyo unaweza kutunukiwa kitu kingine,Lakn naamini hata wewe huutaki ubunge toka ndani ya moyo wako. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mogitete

    Nani ni Nani jimbo la Serengeti 2020, Stephen Kebwe au Charles Moremi?

    Wewe ni pimbi hakuna mkoa wa musoma,hujielewi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mogitete

    Wakili Jebra Kambole: Mtu Mzalendo ni yule anayependa Nchi yake na siyo Serikali yake

    Siyo kila serikali inachaguliwa zingine huteuliwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mogitete

    Nahau za Nape: Mkulima, nyani na mahindi

    Wewe ndo umechemka hukuelewa,sasa hicho ni kiswahili umechemka umombo was lisu kweli umelewa! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mogitete

    Njama dhidi ya Sokoine ingekuwa Tanzania ya Leo, Pangechimbika

    Trust me!!!!! Inabidi kwanza nikate mshipa wa aibu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mogitete

    Walio/watakao ingia kwenye ndoa msije mkaenda kupima DNA kuthibitisha watoto kama ni wako.

    Ni uendawazimu kukaa na watoto wa watu ,mm siwezi kuishi kwa mashaka kama ni kujua nijue mtoto siyo wangu alafu niishinaye lakni najua ukweli cyo wangu siyo kujipa hope kumbe nalea watoto wa watu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mogitete

    Hatma ya Rais mprotestanti Tanzania

    Pumba tupu,ungelala tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mogitete

    Sioni sababu ya kuwaombea wapiga kura wako wanyimwe misaada kimataifa

    Nimegundua Lisu anawanyima sana usingizi upande wa pili,sioni sababu ya kutoa mapovu kiasi hicho,hatutaki misaada ya mabeberu anachokifanya lisu anawasaidia kufikisha taarifa physically kama mtanzania kuwa hatutaki misaada na kweli hatuitaki inalemaza sasa mbona mnamlaumu tena! Mimi nasema lisu...
  11. mogitete

    Kwako Tundu Lissu, bwenini Gasthuisberg, Leuven, Ubelgiji

    Wewe ni msenge---rema tu kama wengine. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mogitete

    Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

    Thibitisha kama anatumwa na mabeberu vinginevyo ni siasa za kitoto na kujipendekeza Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mogitete

    Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

    None sense Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mogitete

    Abdul Nondo kurudi chuoni Januari 4

    Kwani nondo amepingana vipi na serikali? Au ni mahaba yamepitiliza hujui hata unachokiandika? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mogitete

    Ni hoja ya Kimantiki na Kiakili kukazia Falsafa ya Kujitoa kuchimba Makaburi kuliko Falsafa ya kukazania UHAI?

    Eti wanamiliki hadi bar,nmecheka sana,mkuu ni kweli wanamiliki bar
Back
Top Bottom