Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Mtu ambaye ni mzalendo ni yule anayeipenda Nchi yake na sio serikali yake! Wakoloni walikuwa wanaserikali ulitaka wapendwe? Makaburu wa South Africa walikuwa wanaserikali ulitaka wapendwe, Mobutu, Idd Amin, Hitler wote walikuwa na serikali ulitaka wapendwe ?