Mbaya zaidi nilifikiri kamati ya Nape ingeweza kutoa maamuzi dhidi ya makonda, kumbe tena inapeleka taarifa kwa Rais ambae tayari alishasema hapangiwi na mtu. Nape alivuna alichopanda.
Sababu za kuondolewa kwake hats yeye anazijua, ni kubishana na mteuzi wake yeye anasema Makonda chapa Kazi Nape anamuundia makonda kamati. Hapo unatafuta mchawi?
Siku ya sabato maana take ni siku ya saba KWA hiyo hailazimishi LAZIMA iwe jumamosi, maana wakati mungu anaumba mbingu na nchi hapakuwa na jumamosi wala jumapili wala ijumaa, siku zimekuja baada dunia kuumbwa haya mengine ni ushabiki tu.
Na pasaka kwa wakristo ni siku aliyofufuka yesu kila na...
Wakina ziro wapo wengi si mm tu lkn kumbuka hii si Kazi inakulisha kuwa utalala na njaa, kama huna cha kuandika si unaacha? Nani katulazimisha kusoma Habari zangu? Mm Niko mitaani nasaka riziki hii ndio shida ya nywele ngumu hatujitambui kuwa huu ni wakati gani na tufanye nini, ndio maana...
Sina taaluma ya kuandika majina ya nchi, kinachotakiwa ujumbe umefika kama haukuhusu weka pembeni waweza kuwa wewe uko kisiasa zaidi au mmoja WA watekaji.to a mawazo yako si usubiri mwenzako aumize kichwa halafu wewe unarukia.
Mimi sijasomea kuandika majina ya nchi na mawazo ya si LAZIMA uwe msomi WA chuo, pengine hata umetumwa, ndio maana hats jina huweki ndio wale watekaji.
Ni kweli ila tumwogope hats mungu, utekaji unaousema si WA sisi walala hoi hao wana sababu zao wala hawanyang'anyi MTU pesa baadae MTU anaonekana hiyo tu inasababisha nchi nzima kukosa amani? Je wakiingia alshababu humu utasemaje?. Tupambane na wale wanaotubia Mali zetu za nchi tunakosa...
Kama unataka kuamini tz ni nchi ya amani, nenda Congo, bulundi, Kenya, somaria, Sudan. Nk, hebu tuongelee uchumi amani. Tz mtu anatembea na pesa nyingi tena wazi bila wasiwasi KWA wenzetu weee!
Ndugu zangu msilalie sehemu moja labda na yeye alikuwa na vitu ambavyo si halali, kwani kusema ukweli mpaka mkutano au wandishi? Si atuelezea hata kwenye mitandao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.