Yaliyojiri bungeni: Serikali kupitia TISS inahusika na utekaji sio kwa CCM wala upinzani

Sasa naanza kumuelewa gwajima kwa ulinzi huu

Yaani hapa hatekwi mtu
e84df69bf579a7e4889f15f9d75799ef.jpg
Hao ni walinzi au mabaunsa...hapo wote waoga na wakikutana na wavaa suti wa Magu ndio utajua nani mlinzi na nani baunsa
 
Inatia hofu sn lkn ndo maisha tuliyoyachagua wapiga kura...Hope hatutafanya makosa 2020
 
Kama unataka kuamini tz ni nchi ya amani, nenda Congo, bulundi, Kenya, somaria, Sudan. Nk, hebu tuongelee uchumi amani. Tz mtu anatembea na pesa nyingi tena wazi bila wasiwasi KWA wenzetu weee!
Uandish wako unatosha kujibu unaakili kiasi gani? Hakuna nchi inayoitwa BULUNDI wala SOMARIA sasa wewe wa hivi tutaongeleaje uchumi???
 
Kama ameshindwa (na uwezekano upo) ni uungwana tu atuachie nchi yetu na matatizo yake.

Hakuna mbadala wa uhai wa binadam. Hakuna faida zaidi ya uhuru na haki za kuishi kama raia katika nchi yako.
 
Mimi sijasomea kuandika majina ya nchi na mawazo ya si LAZIMA uwe msomi WA chuo, pengine hata umetumwa, ndio maana hats jina huweki ndio wale watekaji.
 
Uandish wako unatosha kujibu unaakili kiasi gani? Hakuna nchi inayoitwa BULUNDI wala SOMARIA sasa wewe wa hivi tutaongeleaje uchumi???
Sina taaluma ya kuandika majina ya nchi, kinachotakiwa ujumbe umefika kama haukuhusu weka pembeni waweza kuwa wewe uko kisiasa zaidi au mmoja WA watekaji.to a mawazo yako si usubiri mwenzako aumize kichwa halafu wewe unarukia.
 
Wewe ni kiazi tu, hamna lolote unasadifu yaliyo kichwani mwako.
Jipange mshamba wewe.
 
Wewe ni kiazi tu, hamna lolote unasadifu yaliyo kichwani mwako.
Jipange mshamba wewe.
Wakina ziro wapo wengi si mm tu lkn kumbuka hii si Kazi inakulisha kuwa utalala na njaa, kama huna cha kuandika si unaacha? Nani katulazimisha kusoma Habari zangu? Mm Niko mitaani nasaka riziki hii ndio shida ya nywele ngumu hatujitambui kuwa huu ni wakati gani na tufanye nini, ndio maana tulitaka kiongozi mkali kidogo maana mpole mlimbeza sasa kwa huyu nyie kwenye machafu kwenye mitandao mtaipata.
 
Tangu kutekwa kwa kibanda.... Hadi roma serikali imekiwa ikishutumiwa kuhusika.
Na hawa wabunge waloambiwa live na mkuu wa mkoa flan ambaye ni mtoto wa mfalme kuwa atashughulikiwa anaongeza ushahidi juu ya hili.
Kama serikali imefikia kuyafanya haya... Je sisi wadogo tunajifunza nn.
Kwa hali ilivyo mtu akisema akisema aunde kikundi cha revenge hakika atapata wafuasi wengi na hapo ndo mwanzo wa vikundi vya waasi
_20170411_205328.JPG
 
Back
Top Bottom