Recent content by Mogadishuu

  1. Mogadishuu

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    Katika hawa nani ana ajiri mwenyewe na nani anapitia Utumishi
  2. Mogadishuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Aliyekosea kupenda basi kayakosea maisha"

    Huu ni usemi nilisikia kwa Sheikh mmoja hivi, nahisi amenigusa mimi kabisa. Nimekosea kupenda hivyo nimeyakosea Maisha yangu kabisa. Nipo kwenye ndoa lakini niliyemuoa nilikuja gundua simpendi japo yeye ananipenda sana na ninayempenda siwezi kumuoa ilimradi tabu tupu. Natamani siku zirudi nyuma...
  3. Mogadishuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Never trust a woman who had sex with man before meeting you

    Umenena vyema sana mkuu, hiki unachokisema niliwahi muuliza binti mmoja akaniambia kama hivi ulivyosema. End of the day watoeni Bikra lakini wakikutana na wazee wa kazi tunawapiga show mpaka na sisi watupe nafasi katika mioyo yao.
  4. Mogadishuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu namna nzuri ya kumkomesha huyu mwanamke!

    Karma
  5. Mogadishuu

    JamiiForums Tanzania Kati ya hawa Marapa mahiri wa hizi Bendi kubwa za Kikongo ni akina nani walikukonga nyoyo sana?

    1. Brigade Sarbati 2. Kerosene. 3 Apocalypse Mobuka 4. Lobeso .5. Zaparo
  6. Mogadishuu

    JamiiForums Tanzania Harmonize kabadili dini kisa Kajala

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Robie kama Robie
  7. Mogadishuu

    JamiiForums Tanzania Kuna jamaa yangu amechanganyikiwa baada ya kukosa ajira za ualimu

    Mungu amtie nguvu
  8. Mogadishuu

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Haiwezekani mkuu, acha tu
  9. Mogadishuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini ambacho uliwahi fanya/kutofanya katika mapenzi/mahusiano, na huwa unatamani muda urudi nyuma ili ukirekebishe?

    Wakuu hii story yangu ambayo niliandika kama kisa ambacho siwezi kukisahau na huwa kinanitesa mpaka leo kwenye maisha yangu, na nilikiandika kama mchango katika uzi wa ndugu yetu laskaboza , lakini kwa mapendekezo ya wadau ni bora kuwepo na uzi wa visa vya nyuma wenye mlengo wa mapenzi au...
  10. Mogadishuu

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Kweli kabisa mkuu, ni swala la moderators tu sasa
  11. Mogadishuu

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) unatibika

    Kweli mkuu?
  12. Mogadishuu

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Akhsante mkuu, B ananipenda sana na sina shaka juu ya hilo lakini hayupo comfortable sababu mimi ni mume wa mtu, na mimi kumruhusu aende naona ntaumia zaidi, yaani mara nyingine huwa tunalia tu chumbani mimi na B wangu, tunamkufuru Mungu (kwa nini asingetukutanisha mapema tu) na mara nyingine...
  13. Mogadishuu

    JamiiForums Tanzania Wadau tusiache Kumwombea huyu Fundi (Na Mafundi Wengine Mbalimbali) Kila napomfikiria Machozi yananitoka

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] huyo fundi ni balaa
  14. Mogadishuu

    JamiiForums Tanzania Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

    Mkuu hii story yako imenigusa sana hasa haya maneno yako ''Nlichojifunza ukimuelewa mtu usikawie kusema, mwambie akatae mwenyewe na kujifanya unaogopa tongoza kuhofia utapoteza urafiki wenu nimejua ni ujinga.'' Ni ukweli kabisa, yaani ni swala la kuzingatia sana mimi mpaka leo nina kazi nzuri...
  15. Mogadishuu

    JamiiForums Tanzania Asante Jerry Rawlings .

    Huyu ndio alichochea demokrasia iliyopo Ghana kwa sasa?
Back
Top Bottom