GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Huku Kwetu nchini Tanzania tunawaita Marapa / Waghani ila kwa wenyewe Wakongo kutoka Kinshasa na Brazaville wanawaita Atalakus na kwa Wafaransa na Kifaransa wanaitwa Animateurs kutokana na umuhimu wao mkubwa wa kuchangamsha Jukwaa na kufanya Nyimbo zinazopigwa pale Stejini ziwe tamu, usichoke na zikutie nguvu.
Nitaweka tu hapa Marapa wa Bendi zile kubwa tu za huko Congo DR na Brazaville kisha Wewe Member wa JF ambaye ni Mpenzi wa Miziki ya Dansi useme ni akina nani walikufurahisha na mpaka leo bado unapenda kuwasikiliza unapokuwa umepumzika zako.
Quarter Latin ( Bendi ya Koffi Charles Antoine Olomide ) alikuwa na Marapa hawa:
Karibuni wale Wadau wa Miziki ya Dansi mtiririke na mserereke na tafadhali wale mliozoea Mdumange, Kiduku, Taarab na Ngojera msitubughudhi kabisa kwakuwa hapa tunataka kujadili Miziki ya Watu wanaojielewa na siyo hao Waswahili wenu mliowazoea.

- Parabolic
- Mboshi Bola
- Eyale Kalondji a.k.a Kerozene
- Rwinga Keps a.k.a Brigade
- Gesac na huyu yupo hadi sasa na ndiyo Rapa Mkuu
- Roberto Wunda Enkokota
- Tutu Calugdi Yombo Lumbu
- Jean Noel Kilimandjaro
- Pitshou Lisimo GENTAMYCINE ambaye hadi sasa ndiyo Rapa Kiongozi ndani ya BCBG
- Fusse De Gaire yupo hadi sasa akiwa kama Rapa Msaidizi wa Gentamycine
- Mazikou Ghislain au Killa Mbongo
- Arafate Wanya
- Sheramila Terminator ambaye yupo hadi sasa
- Zaparo Degaire ambaye yupo hadi sasa na ndiyo Rapa Kiongozi katika Bendi.
- Mukeba Kalondji a.k.a Bill Clinton
- Mozami Muviu a.k.a Celeo Stram
- Rwa Davide yupo hadi sasa na ndiyo Rapa Kiongozi wa Bendi