Recent content by Modrizzy

  1. Modrizzy

    JamiiForums Tanzania Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

    Hebu tuelezee pale daraja ungewekaje mkuu
  2. Modrizzy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nataka kuachana na Mwanamke ninayeishi naye

    Yy ajiulize toka amekuwa amekutana na watu kama yeye wangap kma sio yuko peke yake Mwanaume mwenye akili timamu na watu kazin wamekuamin uendeshe ofisi zao unampa mtu hela zote akushikie afu umwombe tena
  3. Modrizzy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nataka kuachana na Mwanamke ninayeishi naye

    Hili swal ww mwenyew huenzi kwanza unamuogopa
  4. Modrizzy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutoa hela za matumizi kwa familia zetu kila siku, unafilisi

    Hawa wetu wa kiswahili utawek 500k imalize mwez ikifik wiki mbili anakuambia mjomba alimeza shoka sijui mara mama kaanguka ilimrad tu uambiwe imeisha Tuendelee tu kuwek mezan kila siku asubuh
  5. Modrizzy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nataka kuachana na Mwanamke ninayeishi naye

    Msimfiche mwambie ukwel amelogwa huyu Ebanaae umelogwa huo ndo ukwel hakuna shortcut jifyetue kwanza huko ndo uanze shughul nyingne Tafta n ww mtaalam utengenezwe muanze kushindana humo nda mwenye nguvu ndo mwenye mamlaka
  6. Modrizzy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaniuma sana lakini nitafanyaje, inabidi niwe mnafiki tu

    Kwa hyo ss wana MMU tunasimama kama nan ndugu wa mke au rafiki zake mtoa mada
  7. Modrizzy

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo ya kidato cha 4, sisi kama taifa ni vilaza wakubwa

    Hicho kizazi kinachopata F za kutosha sisi baba zao ndo tunatoa maamuzi ya mwelekeo wa nchi yetu Mpaka hapo umeshaona ni kwa jinsi gani tutachelewa
  8. Modrizzy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwezaje kudili na mwanamke aliyekuweka 'pending'?

    Tafuta pesa tafuta pisi kali kushinda yeye kula maisha na ajue unakula maisha kwel Uone kama hataanza kujichekesha chekesha
  9. Modrizzy

    JamiiForums Tanzania Hakuna maisha magumu Zama hizi; kilichopo ni watu kutaka usawa

    Sio kila kitu kizuri ni Haki ya kila mtu.
  10. Modrizzy

    JamiiForums Tanzania Wadada, Mkisalimiwa Jibuni Salaam, Sio Kila Salaam Ina Ubaya Ndani Yake.

    Sema nn kusalimia salimia watu hovyo napo haijakaa fresh . Salimia mtu kma unashida nae au kuna kitu unataka kuuliza Watu wanashida zao , wengine ma stress kibao jua ni kali na hela hakuna unaweza salimia mtu kumbe yuko mbali kimawazo Yawezakuwa hata huyo sister alikuwa anamuwaza mgonjwa wake...
  11. Modrizzy

    JamiiForums Tanzania Picha ilipigwa 1895 Congo Raia wa Ubelgiji akivushwa mto na wapagazi

    Yawezekana kumbeba Mzungu ilikuwa dili kwelikwel malipo yakutosha Usishangae waligombania hiyo nafasi ya kumbeba. Kumtawala mtu mpumbavu ni kucheza na akili yake tu
  12. Modrizzy

    JamiiForums Tanzania Rais wa Chile anusurika kuondolewa madarakani

    naachaje
  13. Modrizzy

    JamiiForums Tanzania Ofa ya kiwanja kwa atakayenisaidia kujiunga na Polisi

    Ili ukipata utubambikie kesi urudishe mpunga wako
  14. Modrizzy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata ajira wife ameongeza matumizi ya pesa zaidi ya mara mbili

    Nilikuwa nioe 2025 kupitia maon ya wenye ndoa, matatizo yao na changamoto tukutane 2030 kama hali itaendelea hiv 2035
  15. Modrizzy

    JamiiForums Tanzania Simba timu ya wazalendo kutwaliwa kwa bei chee, January Makamba mwenye ndoto za urais ni mshauri mmojwapo wa Mo Dewji

    Tatizo sio simba ilipo ameitoa wap hii thaman ya leo kaijenga nan
Back
Top Bottom