Simba timu ya wazalendo kutwaliwa kwa bei chee, January Makamba mwenye ndoto za urais ni mshauri mmojwapo wa Mo Dewji

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
14,386
2,000
Wiki iliyopita wakati Mo Dewji akiwa katika Press Confrence ya kukabadhi Bilioni 20 za ununuzi wa hisa zake asilimia 49 za klabu ya Simba alimshukuru January Makamba kwa ushauri mkubwa ambao amekuwa akimpatia katika uendeshaji wa Klabu ya Simba.

January Makamba huwa anamshauri nini Mo Dewji katika kuindesha Klabu ya Simba ikiwa ametizama kwa macho yake Simba ikiondoka mikononi mwa wananchi kwa bei sawa na bure?

Makamba bado anataka aaminiwe na wazalendo kuupata Urais siku mmoja ikiwa watu anaofungamana nao ni wakina Mo Dewji?!

Mo Dewji kuichukua nusu ya Simba kwa bilioni 20 ni sawa na kuokota dodo chini ya Mnazi, Simba sio ya bei chee kiasi hicho.

Mtu yeyote Mwenye akili ndogo kabisa za biashara anafahamu vyema Mo ananufaishwa sana na Simba kibiashara kuliko uwekezaji wake kwa klabu hii Kubwa na Kongwe nchini japo yeye mwenye anasema hapati chochote katika kuwekeza "machozi, jasho na damu kwa Simba"
 
Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
7,780
2,000
Wiki iliyopita wakati Mi Dewji akiwa katika Press Confrence ya kukabadhi Bilioni 20 za ununuzi wa hisa zake asilimia 49 za klabu ya Simba alimshukuru January Makamba kwa ushauri mkubwa ambao amekuwa akimpatia katika uendeshaji wa Klabu ya Simba.

Siku Jan akiwa rais hii nchi itauzwa kwa wahindi
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
14,386
2,000
Yanga kwa Miaka 10 tu wamepewa mkataba wa billion 41 wa media tu na Azam peke yake na klabu itaendelea kubaki ya wananchi. Nusu ya Simba haiwezi kuwa na thamani billioni 20 tu kamwe.
huu unaoongea niujinga mtupu. haya tupe hiyo thamani halisi ya simba yenye ushahidi
 
Tmuller

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
2,138
2,000
Wiki iliyopita wakati Mi Dewji akiwa katika Press Confrence ya kukabadhi Bilioni 20 za ununuzi wa hisa zake asilimia 49 za klabu ya Simba alimshukuru January Makamba kwa ushauri mkubwa ambao amekuwa akimpatia katika uendeshaji wa Klabu ya Simba.

January Makamba huwa anamshauri nini Mo Dewji katika kuindesha Klabu ya Simba ikiwa ametizama kwa macho yake Simba ikiondoka mikononi mwa wananchi kwa bei sawa na bure?

Makamba bado anataka aaminiwe na wazalendo kuupata Urais siku mmoja ikiwa watu anaofungamana nao ni wakina Mo Dewji?!

Mo Dewji kuichukua nusu ya Simba kwa bilioni 20 ni sawa na kuokota dodo chini ya Mnazi, Simba sio ya bei chee kiasi hicho.

Mtu yeyote Mwenye akili ndogo kabisa za biashara anafahamu vyema Mo ananufaishwa sana na Simba kibiashara kuliko uwekezaji wake kwa klabu hii Kubwa na Kongwe nchini japo yeye mwenye anasema hapati chochote katika kuwekeza "machozi, jasho na damu kwa Simba"
Makamba ana vi share kwenye kampuni za ukoo wa Dewji
 
Msaa

Member
Mar 14, 2021
79
125

Kwani ile asilimia 51 mnaifanyia nini mpaka sasa mpaka mumlaumu aliyeweka b20
 
MasterGamaliel

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
630
1,000
Looks like unampandisha jukwani J Makamba!
Yeye si mzigo, mzigoni ni akichukua Urais wa nchi hii basi hii ni kuwa Ukanda wa karibu na Bahari ya hindi wanavuna Bara! Yaani bara ni mashambani.
 
Nipo huru

JF-Expert Member
Jul 20, 2021
1,197
2,000
Mtu analalamika lakini ukimuuliza lini mwisho kulipia ada yake ya uanachama hakumbuki lakini anataka timu iwe na mafanikio!,hapo roho mbaya ndio tatizo maana Wabongo tuna roho mbaya sana tukiona mtu ana mafanikio ndio maana hata wakati wa Magufuli walifurahi sana utakuta mtu anakuambia Magufuli kiboko kanyoosha watu sasa wote tupo sawa,hiyo sawa sio kama na yeye kipato chake kimeongezeka ila anafurahi kwa sababu fulani naye sasa kapigika.
 
goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
1,264

Uko sahih mkuu watu hatujui ni nin tunakitaka ilimradi tu watu wote tuteseke
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
14,386
2,000
Viingilio wanavyolipa watu kuangalia mechi uwanjani na kwenye visumbusi ni mchango kwa Simba, jezi wanazonunua mashabiki ni mchango mkubwa sana kuliko hizo ada.
Mtu analalamika lakini ukimuuliza lini mwisho kulipia ada yake ya uanachama hakumbuki lakini anataka timu iwe na mafanikio!,hapo roho mbaya ndio tatizo maana Wabongo tuna roho mbaya sana tukiona mtu ana mafanikio ndio maana hata wakati wa Magufuli walifurahi sana utakuta mtu anakuambia Magufuli kiboko kanyoosha watu sasa wote tupo sawa,hiyo sawa sio kama na yeye kipato chake kimeongezeka ila anafurahi kwa sababu fulani naye sasa kapigika.
 
Nipo huru

JF-Expert Member
Jul 20, 2021
1,197
2,000
Viingilio wanavyolipa watu kuangalia mechi uwanjani na kwenye visumbusi ni mchango kwa Simba, jezi wanazonunua mashabiki ni mchango mkubwa sana kuliko hizo ada.
Unaweza kutuambia hapa hivyo viingilio na hayo mengine uliyoyataja vinaweza kuiingizia timu kiasi gani na kama vinakidhi gharama za uendeshaji kwa msimu mzima kuanzia usajili, kulipa mishahara kuanzia kocha, wachezaji na watendaji.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
14,386
2,000
Ongeza na pesa za wadhamani.
Yanga kupitia dili la Azam tu anapata bilioni 3.4 kwa mwaka.

Tokea mipango ya kuuzwa hisa uanze ni muda mrefu umepita hadi juzi hapo ndio Mo kalipa pesa je hapo katikati wanachama mlishindwa nini kutafuta hao wadhamini ili muachane na mpango wa kumuuzia mtu sehemu ya umiliki wa timu?
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
6,274
2,000
Unaweza kutuambia hapa hivyo viingilio na hayo mengine uliyoyataja vinaweza kuiingizia timu kiasi gani na kama vinakidhi gharama za uendeshaji kwa msimu mzima kuanzia usajili, kulipa mishahara kuanzia kocha, wachezaji na watendaji.
Mkuu Mo, amewasaidia sana, hadi kufikia hapo, lakini kuna mambo lazima muyaweke sawa!!mapato ya timu yanayotokana na kutangaza bidhaa za METL, ni kiasi gani, viingilio, mapato kutoka kwa wadhamini wengine kama sportpesa na azam tv, yajulikane, Sasa anapokuja tu na kusema kwa miaka mi 4, nimetumia bilioni 21 zangu, inaibua maswali mengi!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom