Recent content by mode shirima

  1. M

    TCRA na uzimaji wa simu: Ni sanaa, propaganda, utani au ufinyu wa teknolojia?

    Kwa hiyo mnataka wenye cmu feki watumie cmu zipi kama cmu zingezimwa?Hivi hamuoni hii hali ngumu ya upatikanaji wa hela ilivyo?
  2. M

    Updates zoezi la kuzima simu bandia

    We jidanganye tu.Uzimaji ni leo saa sita kamili ucku.Hivyo bado masaa kumi tu kuanzia sasa.
  3. M

    Kodi ya Asilimia 10: Kwa kila Tshs 1,000 ya kwenye Miamala, tshs 280 ni za TRA kuanzia Julai mosi

    Toeni maoni kwa busara.Unasupport kwa kusema safi sana lkn umesahau wafanyakazi ambao mishahara yao inapitia benki watalipa kodi mara mbili.
  4. M

    Ananidanganya ili anioe

    Amini nakuambia achana nae maana huyo mtarajiwa wako hajitambui kabisa.Miaka 31 hana kitanda? Haiwezekani kabisa.Huyo anskudanganya na ukikubali tu umepoteza ramani ya maisha
  5. M

    Ananidanganya ili anioe

    Tafuta kazi wee mdada ukishaolewa hakuna kusomeshwa tena bali ni kuzaa tu.
  6. M

    Ananidanganya ili anioe

    Sasa kama hana kitanda si atakuvunja kiuno wakati mnakulana!
  7. M

    Faiza Ally: Sipo tayari kurudiana na ‘Sugu’ ila akihitaji mtoto mwingine nipo tayari ‘kumpatia’

    Ina maana huyo mtoto atapatikana kwa uwezo wa Roho Mtakatifu au kwa kujamiana?Funguka maana ili mtoto apatikane mapenzi ni lazima
  8. M

    Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

    Kwa kuwa umeshalikoroga huna hudi kulinywa.Nani alikutuma kwa mume wa mtu.Baki nae si vijana tunamtaka mdada asiejichanganya kama ww
  9. M

    Nimeamini sisi UKAWA ni wasaka tonge tu

    Mazuri yapi? Kuwakashfu waliomtangulia hadharani ndio mazuri uliyoyaona?
  10. M

    Magufuli: Wanaopita kwenye barabara za mwendokasi chomoeni tairi za magari yao muuze

    Fanyeni uchunguzi kwa Marais wa Afrika waliovaa magwanda ya kijeshi kwamba nchi ziliongozwaje na mafhara yake yalikua ni nn
  11. M

    Kauli za Rais Magufuli na mustakabali wa Taifa letu

    endesha Mungu hafananishwi na binadamu hata cku moja.Mpigie Mungu goti ukiri kosa lako.
  12. M

    Zitto Kabwe kuwa dhidi ya Magufuli ni kujiua kisiasa!

    Barbarosa hujui maana ya demokrasia ya vyama vya upinzani
  13. M

    Rais Joseph Pombe Magufuli: Mzee Kikwete umeniachia kazi ngumu

    Hakuna mzunguko wa hela lkn kwa kumsifia hamjabo.
  14. M

    Rais Joseph Pombe Magufuli: Mzee Kikwete umeniachia kazi ngumu

    Amini nawaambia wale wote wanaomsifia JPM baada ya miaka miwili wataanza kumdharau ile mbaya
Back
Top Bottom