Hiyo Ni sawa Na Big Results NowBongo lala + bongo chemka=?
duu kwakuwa umesema wakushauri walioolewa basi cc wakiume tunasoma tu nakusepa,ingawa kuna wanaume wengine wametoa ushauri hapa..............................................................ila wasikilize na waoShikamoo wakubwa,Mimi ni binti mkubwa kiasi nimemaliza form six mwaka huu kuna huyu kaka jamani yeye ana miaka 31yaani amengangania anioe sasa Mimi nashindwa tutaishije nilishafika kwake hats kitanda hana analala chini bado anatafuta Kazi ananiambia nikubali tufanye harusi zawadi tutakazopata tutaanzia maisha halafu akipata Kazi atanisomesha yeye chuo.nishauri mlioolewa na nyie mlianza kulala chini kama Mimi.
Ameniambia alikuwa anakaa nyumbani kwao ndio anaanza maisha peke yake na hataki kutoka na vitu nyumbani kwao tutanunua vya kwetuMiaka 31 hana hata kitanda ,,?? Analala chini?? Miaka yote hiyo alikuwa anafanya nn?? Pima IQ ya mumeo mtarajiwa pia ,sidhani kama mwanamume timamu kabisa miaka zaidi ya 30 hana hata kitanda halafu anakuahidi kukusomesha
Achana nae tafuta mwenye kitandaAhsanteni wote nitaolewa nitamvumilia tu,ila naogopa rafiki zangu wakijua hata hatuna kitanda si watanicheka jamani
Hahahaaa,hamna MUME hapo dadaangu,hadi miaka 31 alikuwa anaishi kwako,tena inavyoonesha amefukuzwa ameambiwa akajitegemee vinginevyo mtu timamu kabisa haanzi hivyo maisha,huwa anajipanga,ananunua kitanda akiwa home,Ka redio ,akiridhika ndo anaenda kupanga,sasa huyo hyo style yake ya mwendo kasi,mwambie ajipange kwanza,,maisha hayo hayapo siku hizi..na ww tengeneza future yako mwenyewe usitegemee kusomeshwa naye ,,Ameniambia alikuwa anakaa nyumbani kwao ndio anaanza maisha peke yake na hataki kutoka na vitu nyumbani kwao tutanunua vya kwetu
Umeshadanganyika na mawazo ya JF,you will pay a huge price!!Ahsanteni wote nitaolewa nitamvumilia tu,ila naogopa rafiki zangu wakijua hata hatuna kitanda si watanicheka jamani
Mkuu una akili sana....katika ushauri wote alopewa na wadau she should stick here (if it's true story)Wewe binti hutujui sisi wanaume wewe, dunia haijawahi kuwa rahisi hata siku moja, you should fight on your own!!.....Kumkubalia jamaa ni kutake pure risk and you will suffer enormously, natamani umkubalie jamaa halafu utaikumbuka hii comment yangu milele!
The way she is talking she sounds like a teen, i think some brothers and sisters must help her eminently!!Mkuu una akili sana....katika ushauri wote alopewa na wadau she should stick here (if it's true story)