Recent content by mocoservices

  1. mocoservices

    Serikali mna jukumu la kuwasaidia hao Vijana wa NETO na Watanzania wote na sio kuwaletea ukorofi. Tusiwe kama Watu wasio na AKILI tusiojali

    Mkuu ahsante sana kwa andiko. Umeandika kwa hisia sana, kiasi kwamba nikaanza kuhisi wewe ni NETO 😂😂. Hoja tatu zimenigusa sana, kazi za viwandani, Kujitolea na wageni kuingia kwenye nchi yetu na wanafuata bidhaa shambani kabisa. Nitaongezea kwenye hoja 2. Kazi za viwandani na Kujitolea kisha...
  2. mocoservices

    Nawezaje kuback up WhatsApp messages&call

    Kama hukufanya back up, hakuna namna. Au kama uli switch simu let say, ulikuwa unatumia Android na ukaenda iOS au OS ingine. Cha kufanya rudi kwenye OS ya zamani, weka WhatsApp humo kisha kisha kuna tools professional za kuhamisha data za WhatsApp kutoka cloud tofauti. Maana Android wao...
  3. mocoservices

    Msaada: LG Home Theater inaandika D-PROTECTION

    Pole sana mzee. Naandika hapa nikiwa sijui kama umepata msaada au la hasha. D-Protection level ya ulinzi kwenye vifaa hivi vya kisasa vya umeme, umewekwa makusudi kulinda kifaa chako. Hiyo hutokea mara nyingi kutokana na kukatika kwa umeme ghafla ndani ya mzunguko wa power supply ndani ya...
  4. mocoservices

    Matatizo ya computer

    Anza kwa kubainisha chanzo cha tatizo. Nipo hapa kwa ajili ya kukusaidia
  5. mocoservices

    Nimepigwa hard disk speed ni ndogo sana, tusiwe na haraka tuchukue muda kuzikagua kuepuka huu upigaji

    Hapana, si vizuri kusema umepigwa au labda tu hujui ulikuwa unataka kununua nini? Na kingine ni RPM sio kipimo cha harddisk kutransfer data haraka (kutoa au kuingiza). Jua kwamba RPM hiyo 54000 ni mzunguko wa disk kwa dakika 1. (Ndani ya hard disk kuna cd ndogo) ndiyo iliwekewe huo upimaji. Cha...
  6. mocoservices

    Kero za mafundi simu: Wengi wapo local sana

    Ahsante kwa mada mleta mada. Kazi ya ufundi simu ni miongoni mwa fani inayokuwa kwa kasi sana hapa Tanzania, mimi pia ni fundi simu, nafanya kazi hii since 2017. Suala la ubora wa kazi ambazo mafundi wanafanya ni "double sided" namaanisha "mteja au fundi mwenyewe" Nitolee mfano kwenye hoja...
  7. mocoservices

    You cant be a rich, without shady or dirty deals

    Tangia kuumbwa kwa dunia hii, wenye maarifa, akili (kufikiria 5x zaidi ya wengine), wenye subira, wenye kuthubutu hata kwenye hatari, wasiojionea huruma kwenye masirahi na nguvu ndiyo wenye uwezo wa kupata mali in abundant. Haiwezekani kuapata mali (wealth) ukiwa legelege, mzembe, unajionea...
  8. mocoservices

    Ubaguzi, Uchawi na Ushirikina kikwazo cha maendeleo baadhi ya vijiji Tanzania

    Habari yako mwana jukwaa. Naandika uzi huu nikiwa Katikati ya Tanzania (kanda ya kati). Nimeishi hapa kwa miezi 4 sasa, kwa hiyo ninacho andika nina kifahamu vizuri kwa kushuhudia kwa macho yangu. Naishi kwenye mkoa wa 3 toka mwisho kwa umasikini nchini hapa, mkoa ambao elimu iko chini sana na...
  9. mocoservices

    Usichokijua kuhusu Infinix Note 30 pro na maajabu yake

    Note 30 Pro sio flagship ni midrange
  10. mocoservices

    Marco Mkali | Marco Chizoli

    DR. MARCO MKALI, MARCO CHIZI KIDOGO Alipita Metro studio, Serious Records, Kama kawa Records mpaka alipotuliza majeshi MJ RECORDS na kufanya kazi na mkubwa Master Jay huku pia akiwavuta wadogo zake; Daxo Chali (Daxo Cha) na Za Chali (Zacha) Chali amefanya kazi na wasanii TOFAUTI lakini...
  11. mocoservices

    Producer Dunga

    MIKWAJU 50 KUTOKA KWA DUNGA Nilianza KUSIKIA kazi zake akiwa na ndugu yake aitwaye SHAKII, huku wakisuka MIDUNDO mikali. Miaka ikaenda, nikamsikia akifanya ushirika na LAMAR pale 41 RECORDS. Lakini pia aliwahi KUPITA PINNACLE PRODUCTION, kote huko alikopita hakusahau kuweka sign tune yake...
  12. mocoservices

    Ukiona Dalili hizi Kwenye Simu Yako, Jua Kuwa Uko "hacked"

    Na kwenye orodha ya simu ulizoweka, hakuna ambayo haidukuliwi kwa taarifa yako. Ila, kuna kitu kimoja kwenye haya mambo, kuna simu ambazo watu hawatilii mkazo, kwa mfano windows phone, blackberry, symbian...zilishapita na wakati ila mtu akikutaka akikutafuta ukijaa anadukua
Back
Top Bottom