Usichokijua kuhusu Infinix Note 30 pro na maajabu yake

Usichokijua kuhusu Infinix Note 30 pro na maajabu yake

Hakuna simu slim zaidi ya hapo? Naliona linene sana muundo wa note 7 infinix ilikuwa wa kuvutia sana. Simu slim sana haichemki
 
Gharama yake ni 650k mpaka 680k boss wangu
Unapata Samsung Galaxy S20 Na Pesa Inabaki



 
Mpya Kuna Jamaa Kanunua China
Mmmmh
Sawa but kama ni China kwa 650K kuna simu nyingi tu nzuri za miaka ya karibuni ndio maana sio fair kulinganisha midrange za sasa na flagship za 2020 kama Samsung Galaxy S20. Lazima S20 itakuwa bomba zaidi ila kuna wale wanaotaka midrange mpya za sasa
Ila bado nina mashaka hiyo S20 ni used au refurbished
 
Ikishakuwa mediatek yote yaliyomo yanakuwa hayana maana

Labda ingekuwa snapdragon
Hapana sio kweli
Kuna MediaTek zina nguvu kuliko hata Qualcomm Snapdragon 8+ Gen 1 ambayo ndio second most powerful Snapdragon
Mfano kaifuatilie MediaTek Dimensity 9000+, ni strong kuliko Snapdragon zote kasoro Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 na ni almost equal to Snapdragon 8+ Gen 1
 
Ila wengine wanaitumia mpaka simu za laki 3. Samsung mwenyewe ambaye simu zake Ghali hauzi simu ya Helio G99 laki 6 lakini Infinix akiuza Mapambio kibao.

G90T processor ya miaka kama 4 iliopita imekuwa rebranded kwenda G95, baadae ikaitwa G96 sasa hivi inaitwa G99. Ni processor ya zamani ambayo haina thamani ya laki 6.
Ko hapa Chief-Mkwawa tungojee Bei itashuka ama vp na ni simu Gani hizo(brand) zenye hiyo processor kw laki 3
 
nb: sie wengine Bado tupo uchumi wa kati simu ya laki 3 itapendeza, laki 6 dah huo ni uwekezaji mkubwa sn hasa kw simu
 
Ko hapa Chief-Mkwawa tungojee Bei itashuka ama vp na ni simu Gani hizo(brand) zenye hiyo processor kw laki 3
Xiaomi ana Redmi 13C version ya G99 na Samsung ana A24 (around laki 4) na A15 pia ina G99 hii inaweza kuwa chini ya laki 4. Poco M5 pia around laki 3.

Pia lengo hapo ni kuonesha hio simu ipo overpriced kuna processor bora zaidi kwa hio budget ya laki 3-4 kama vile snapdragon 4 gen 1, 4 gen 2, 695.
 
Back
Top Bottom