Recent content by mob

  1. mob

    Mwanamageuzi mkongwe wa Urusi Chubais ajiuzulu kama balozi wa Putin

    Mkuu ukweli hakuna mwenye haki juu ya uhai wa mwenzake . ila hizi silaha zinatengenezwa na binadam dhidi ya binadamu wengine, Haya mataifa tunayoishi yamejengwa kwa jasho na damu hivyo watu wanatumia jasho na damu kulinda haya yote.fikiria raisi wa ukraine angelisema tokea mwanzo kuwa taifa lake...
  2. mob

    Mwanamageuzi mkongwe wa Urusi Chubais ajiuzulu kama balozi wa Putin

    kitu anachokifanya Putin kwa mbeleni kina manufaa sana kwa taifa lake ila kwa kuwa kila kitu lazima kiwe na upinzania ni lazima wengine wasimame wazungumze. kila mtu anaelewa umuhimu wa taifa kuwa kitu kmoja na kulinda mipaka yake anachofanya putin ni kulinda taifa lake dhidi ya mataifa ya nje...
  3. mob

    Mgogoro KKKT Dayosisi ya Konde nani alaumiwe?

    mkuu umenukumbusha Askofu akyooo . Hii ilisababisha akaenda kupata hifadhi chuo cha biblia pale Mwika
  4. mob

    Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

    mkuu tumia discovery 2v8 utaona utafauti kabisa
  5. mob

    House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    mkuu hii picha inaonyesha as if mbele kuna korongo
  6. mob

    Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

    mkuu alwals hiz gari unaacha ziaccelarate zenyewe ukiforce lazima zile mafuta natumia mimi V8 lita moja kwa km 9 .
  7. mob

    Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

    Diesel kuna pipe zinakufaga kila wakati
  8. mob

    Bachelor of education in policy, planning and management

    Mkuu hii ni kozi nzuri sana ya kusoma of which inasaidia kukupa uwanda mkubwa kwenye policy , Planning and education hii ni sawa na wale waliosoma BA in Political science and Public Administration
  9. mob

    Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

    Petrol ni cc 3900 almost 4000
  10. mob

    Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

    Petrol ni nyepesi na rahisi kutunza for last three years nabadili break pad na oil only
  11. mob

    Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

    kwenye Maisha yangu nimemwomba Mungu nimiliki hizi gari tu. Nina uzoefu wa miaka mitatu natumia hizi gari aisee ni nzuri over watu wanavyosema unapita popote na zina stability nzuri sana barabarani. Ukitaka uzifaidi zaid tumia ambazo ni petrol hutakaa uache hizi landrover ni zaid na Zaidi.
  12. mob

    Dodoma: Ajali yaua Watatu akiwemo DAS Handeni

    Hii gari inaonyesha ni Landrover discovery 3 or 4 automatic alikutana na kitu lazima maana rim na tairi bado nzima
  13. mob

    Nahitaji kusafirisha pikipiki yangu kutoka Dar kwenda Karatu

    mu ole na majukumu kuna njia naweza kukushauri nenda pale jangwani kuna malori then ongea nao wanaweza kukusaidia ila andaa kabisa document zote za pikipiki na ikiwezekana ingia mkataba na hao jamaa.Au njia nyingine ambayo ni safe Zaidi fungua hiyo pikipiki ibaki kwenye box kama yale...
Back
Top Bottom