pole sana Wafiwa na Mungu awape nafuu ya mapema majeruhi.Watu Watatu wamefariki dunia akiwemo Katibu Tawala (DAS) wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga Mwalimu Boniface Maiga Jumaa baada ya Gari mbili kugongana mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Ajali hiyo pia imesababisha majeruhi kadhaa akiwemo Mbunge wa Handeni Mhe.Omary Abdallah Kigoda.
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Dodoma SACP Gilles Muroto amethibisha.
ITV BreakingNews
View attachment 1503466View attachment 1503467