Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

Hivi ni Muingereza au Mhindi?
(Land Rover is a British brand of predominantly four-wheel drive, off-road capable vehicles, owned by multinational car manufacturer Jaguar Land Rover (JLR), since 2008 a subsidiary of India's Tata Motors).

Tata Motors ni kampuni inayomilikiwa na TATA family chini mwanzilishi wake ajukikanaye kama RATAN TATA. Mwanzoni ilikuwa ni kamouni ya Uingereza kabla ya kuuzwa kwa familia ya TATA.
 
kwenye Maisha yangu nimemwomba Mungu nimiliki hizi gari tu. Nina uzoefu wa miaka mitatu natumia hizi gari aisee ni nzuri over watu wanavyosema unapita popote na zina stability nzuri sana barabarani. Ukitaka uzifaidi zaid tumia ambazo ni petrol hutakaa uache hizi landrover ni zaid na Zaidi.
Mkuu defender petrol hiyo itakuwa sio tdi tena na ni V8 labda.
 
1621423020582.png
 
Back
Top Bottom