Recent content by MNYWABUJU

  1. MNYWABUJU

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Harmonize Yanga umekuwa Number 1 trending: Diamond alipia post ili kujaribu kumshusha

    Hivi unakijua kweli ulichopost
  2. MNYWABUJU

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Basi la kampuni ya Ally's lateketea kwa Moto

    Basi LA kampuni ya ALLY'S linalofanya safari zake toka dar kwenda mwanza limepata ajali na kuwaka moto katika eneo LA BAHI ,Dodoma, Hakuna taarifa ya waliofaliki wala majeruhi ,update zinakuja
  3. MNYWABUJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kazi imeanzaWagombea ubunge wa upinzani morogoro mjini wakatwa

    Msimamizi wa uchaguzi morogoro mjini sheila lukuba amewakata wagombea ubunge wa vyama vya upinzan kutokana na makosa mbalimbali katika fomu zao,hivo mgombea pekee abdulaziz abood wa ccm amepita bila kupingwa
  4. MNYWABUJU

    JamiiForums Tanzania Binadamu mwenye Umri mkubwa zaidi afariki akiwa na miaka 116 nchini Afrika ya Kusini

    Kwa SA Labda ndio mzee zaidi,maana kila nchi ilishalipot wao ndio wanamtu mzee zaid duniani
  5. MNYWABUJU

    JamiiForums Tanzania Kutokuonekana kwa Diamond Platnumz katika Tamasha la CCM, nikuwaogopa magiant wenzake?

    Joanah ndio amejua ajui
  6. MNYWABUJU

    JamiiForums Tanzania Kutokuonekana kwa Diamond Platnumz katika Tamasha la CCM, nikuwaogopa magiant wenzake?

    Waelevu kama wew ndio mnao TIWA na adam adi mitama
  7. MNYWABUJU

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Sport director eric abidal na Kocha mkuu queque setien katika kikao lazima mmoja aondoke au wote wasepe
  8. MNYWABUJU

    JamiiForums Tanzania Kutokuonekana kwa Diamond Platnumz katika Tamasha la CCM, nikuwaogopa magiant wenzake?

    Yawezekana pia, lkn kwa ukubwa wa chama na diamond mwenyew sizan kama kuna uwezekano wa kushindwana, kati yake na ccm
  9. MNYWABUJU

    JamiiForums Tanzania Kutokuonekana kwa Diamond Platnumz katika Tamasha la CCM, nikuwaogopa magiant wenzake?

    Habari wana Jamvi, kwanza niwapongeze wasanii wote walioshiriki Tamasha la CCM- Uwanja wa Uhuru, walifanya vizuri, lakini kutoonekana kwa nyota wa muziki Tanzania Diamond Platinumz katika tamasha ilo nadhani ilikuwa pigo kwa mashabiki zake ambao walienda kutaka kumuona. Je, aliogopa wasanii...
  10. MNYWABUJU

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Hanscana upo wapi kulinganisha na Directors wengine wa video?

    Majinga sana yanaleta chuki za kijinga
  11. MNYWABUJU

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Hanscana upo wapi kulinganisha na Directors wengine wa video?

    Nyie kila kitu mnaonaga jamaa wanaiba tu, muwe mnajificha kidogo, mnatuaibisha
  12. MNYWABUJU

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Danga Idriss Sultan umetisha sana kaka

    Ndio YouTube zipo, zinapatikana nzuri sana
Back
Top Bottom