Dodoma: Basi la kampuni ya Ally's lateketea kwa Moto

Hao abiria na wahusika wa Hilo basi wote WAPUMBAVU Kuna mabegi kwenye buti hawatoi pia kila gari inatakiwa kuwa na fire extinguisher na watoa huduma wa Basi wajue jinsi ya kutumia kwa maajabu wamebaki kupiga picha na kuchukua video ili waonekane walikuwa wakwanza kurusha video
 
Basi LA kampuni ya ALLY'S linalofanya safari zake toka dar kwenda mwanza limepata ajali na kuwaka moto katika eneo LA BAHI ,Dodoma,
Hakuna taarifa ya waliofaliki wala majeruhi ,update zinakuja
 

Attachments

  • FB_IMG_1598451161077.jpg
    FB_IMG_1598451161077.jpg
    23.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom