Recent content by mnyongeni

  1. mnyongeni

    African Satellite World and Sat Gear

    Thank you for your reply. Can you elaborate in accordance to my question please.
  2. mnyongeni

    African Satellite World and Sat Gear

    Excuse me expertise, i have a satellite dish of 90cm and a KU lnb, with a dvb receiver (so called continental receiver). Currently i am receiving fta channels with a lot of scrambled channels right away. My concern is that, is it possible by using the same receiver and dish to get other...
  3. mnyongeni

    African Satellite World and Sat Gear

    Help me please i need to know this, Can any satellite receiver receive any satellite? Provided that it is not short listed within it?(can added satellite function to any receiver?)
  4. mnyongeni

    African Satellite World and Sat Gear

    msaada tafadhali receiver yangu ya continental inaleta channel za free to air karibia 44 lakini ziko scrambed. nifanyeje? tatizo hili limeanza kama siku 7 hivi ila mwanzoni zilikuwa ziinaonesha vizuri.
  5. mnyongeni

    Hivi haya materials yanayoitwa epoxy yanapatikana Tanzania yetu hii?

    habari, kuna video clips nimeziona youtube za kitu wanachoita epoxy. haya ni material unaweza mwaga kwenye floor au meza au viti na kufanya viwe na top kama ya glass. nauliza hapa Tanzania yanapatikana? wapi, na kwa bei gani kwa anayefahamu.
  6. mnyongeni

    Nataka kununua TECNO C8 CAMON

    Kuna simu mpya naziona madukani ni za tecno c 8. Vipi ubora wake? Nilichovutiwa zaidi ni uwezo wa camera 13 Mega pixel. Na bei nimezunguka naambiwa hata 280,000 napata. Naomba wanayoijua vizuri tuidiscus uzuri wake na madhaifu yake. Pia vipi kuhusu tecno c5 na boom 7?. Pia kuna simu nyingine...
  7. mnyongeni

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    acha majungu..... ulitaka amteue baba yako?
  8. mnyongeni

    Learn to Install Windows 7/8/XP Dual Boot on your Android Mobile/Table

    hujaongelea at least device iwe na ram gani, au any ram. Vipi haiwezi kuwa slow, Je ukitaka kuiondoa unafanyaje? Vipi ukubwa wa hizo os zinakuwa na ukubwa gani, utahitaji kiasi gani cha internet data.
  9. mnyongeni

    Kuna haja yoyote ya mwanamke kujenga kwao?

    Habari wana mmu. Kuna hoja ningependa tuijadili. inayosema' 'kuna haja yoyote kwa mwanamke akisha olewa, kujenga nyumbani kwao?'' Hapa Namaanisha siyo kuwajengea wazazi, wazazi wameshajenga. Pointi yangu yeye kama yeye anunue kiwanja, aanze ujenzi wa nyumba yake. Kwa sababu tu uwezo huo...
  10. mnyongeni

    Tanzanian made clean animations

    mkubwa hongera sana nimeipenda. good to go
  11. mnyongeni

    Msaada kuhusu Tikitimaji

    pandia DAP , Mbolea ya kukuzia weka NPK na mara nyingi huwekwa after 2 weeks
  12. mnyongeni

    Ntapataje Clouds TV kwenye king'akuzi cha Startimes?

    Habari, mimi napatikana kahama shinyanga nimenunua king'amuzi cha startimes mwezi uliopita 03/2015. Kwa promotion ya sh. 39000, nikapewa ofa ya kifurushi cha sh. 10000 kwa miezi mitatu. Tatizo kwenye local channels haipo clouds tv. Nikajaribu kumuuliza mtu aliyeko pwani naye anatumia startimes...
Back
Top Bottom