mnyongeni
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 141
- 24
Habari wana mmu. Kuna hoja ningependa tuijadili. inayosema' 'kuna haja yoyote kwa mwanamke akisha olewa, kujenga nyumbani kwao?'' Hapa Namaanisha siyo kuwajengea wazazi, wazazi wameshajenga. Pointi yangu yeye kama yeye anunue kiwanja, aanze ujenzi wa nyumba yake. Kwa sababu tu uwezo huo anao?
Vipi kwa upande wa wanaume ni halali na yeye kufanya hivyo? Karibuni.
Vipi kwa upande wa wanaume ni halali na yeye kufanya hivyo? Karibuni.