Recent content by mnyepe

 1. mnyepe

  Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

  watu ni wafukufuku..
 2. mnyepe

  Ziara ya Rais Magufuli kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Maktaba UDSM

  Jamaa anajiamini sana huyo. Haya tuone wasomi wetu watakavyompokea na kumsikiliza.
 3. mnyepe

  Members only

  Hahahaha..watu na fani zao..wakware hio taulo wameshaivua na kumla kabisaaa!!
 4. mnyepe

  Nani anauza Toyota Vitz jamani

  Tulia mtoto mzuri kwa hio hela gari hio utaipata bila wasiwasi..wewe tulia kama unanyolewa.
 5. mnyepe

  Nimekumiss hadi nahisi kuumwa jamani

  usinifanyie hivyo mtoto wa mwanamke mwenzio!! kuwa na huruma basi.
 6. mnyepe

  Nimekumiss hadi nahisi kuumwa jamani

  Nina dawa mujarab ya hayo maradhi yako..mzima wewe?
 7. mnyepe

  Mtu na _______wake

  Daah sina la kusema kwa kweli.
 8. mnyepe

  Sautisol ft. Ali Kiba - Unconditionally Bae

  Huyu ndio kiba ninae mjua mimi. Funika mbayaaa kama nyimbo yake vile!!
 9. mnyepe

  Namtafuta baba yangu anayeitwa Rashidi Mshana

  usikariri hata same wako..maeneo ya ndenga, mwembe, manolo, gonja na kisiwani
 10. mnyepe

  Ile naingia tu, jamaa anapiga kofi wowowo la mke wangu, huku wakifurahi

  Hapo bila kumung'unya maneno, huyo hawezi kuwa mke mwema anaetoka kwa bwana.
 11. mnyepe

  Mumewe atembea na msichana wa kazi na kupangisha nae chumba mtaa wa pili

  Wewe hujaolewa na hivyo huna locus ya kutoa opinion kwa jambo usilolijua..
 12. mnyepe

  Mumewe atembea na msichana wa kazi na kupangisha nae chumba mtaa wa pili

  Ni pm namba za huyo mwanamke nimliwaze na mimi...si umesema ana kazi nzuri, msomi, ana mawe ya nguvu.!!!
 13. mnyepe

  Yaliyojiri mechi ya Yanga Vs Simba Feb 20, 2016 Yanga yapaa kileleni

  Yanga rahaaaaa!!! kampa kampa tena..japo wanadai msemo wao lakini kikubwa zaidi mnyama kaukalia mara mbili...hahahahaaaa
 14. mnyepe

  Nani anawaajiri Lectures?

  Ndio watu gani hao?
Top