IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,738
- 7,085
Rwanda hivyo vitu vipo vingi saaana yani hata sishangai
We wacha tu, utakachoambiwa unaitikia!Unaweza hata kuhonga kampuni ya Serikali
Mzee ushafika Eritrea? Huko balaa, acha kabisa!Rwanda hivyo vitu vipo vingi saaana yani hata sishangai
Huko sijafika mkuuMzee ushafika Eritrea? Huko balaa, acha kabisa!
Hongera Mkuu, na sheria zao natumai unazijuaBinafsi nimeshapata mwaliko rasmi
Huko sio mchezo, unaweza ukasahau yote ya dunia ukabaki unashangaa!Huko sijafika mkuu
raha ya Samaki lazma aliwe pande zote mbili
Kabisaaa na pilipili kwa mbaliiiraha ya Samaki lazma aliwe pande zote mbili
Umesahau kachumbariKabisaaa na pilipili kwa mbaliii
Dah atanogajeUmesahau kachumbari
Kazi ni kwako na utaanzia wapi kumla!Dah atanogaje
Ahhh mbichi kama wewe walahiii vile, naomba contacts tuanze project yetu ya movie,Mtoto anaonekana mbichi kabisa huyu.
Wavurugaji bado hawajavuruga vilivyomo