Recent content by Mnyamwezi wa Urambo

  1. Mnyamwezi wa Urambo

    Kimbunga vyeti feki: Baadhi ya vigogo wamwaga manyanga kimya kimya

    Kumbe uhakiki bado tu unaendelea? Duh! Watumishi wa umma nadhani mwaka huu annual increments tusahau
  2. Mnyamwezi wa Urambo

    Mkutano wa CUF: Polisi warusha risasi hewani kuwatawanya wafuasi wa Prof. Lipumba

    LIPUMBA aache kuwapa viroba vijana wetu waliokosa kazi Dar es salaam kwaajili ya manufaa yake kisiasa.
  3. Mnyamwezi wa Urambo

    Boxing day tumepigwa box

    Mkuu tunasubiria mrejesho toka kwa wazee huko nyumbani kwa bro wako
  4. Mnyamwezi wa Urambo

    Ushoga Tanzania: 1500 wajitangaza kushiriki mapenzi ya jinsia Moja Iringa

    Hili suala la ushoga ifikie kipindi serikali itangaze kuwa Janga la taifa. Watoto wadogo mashoga wamejaa badoo wanajinadi hadharani kabisa. Kwa mji kama Dar es salaam ni almost kila mtaa una kijana shoga. Tena vijana wadogo kweli huwezi amini. Mungu atunusuru
  5. Mnyamwezi wa Urambo

    Namuunga mkono John Mnyika kupeleka tena hoja binafsi juu ya Tegeta Escrow

    Sipati picha Tumbili angekuwepo mjengoni wakati hoja inarudishwa
  6. Mnyamwezi wa Urambo

    Tunda gani hili?

    Mapera rashi hayo. Ni matamu sana lakini ukiyala sana yanaleta kiu
  7. Mnyamwezi wa Urambo

    Nani alikuwa msanii wa kwanza wa Bongo fleva?

    Saleh Jabr. Alitamba na vibao cha "ice ice baby" na mwingine sijui unaitwaje but alikuwa anatumia rythm na beat ya wimbo wa Chakka Demus & Plius wa "murder she wrote" hiyo ilikuwa ni early 90's
  8. Mnyamwezi wa Urambo

    Osama bin Laden yupo hai, ukweli ndio huu

    It is very possible! Lengo la wamarekani kuibua haya makundi wanayoyaita ya kigaidi ni ku-destabilize all arabs/persians countries that are threat to Israel security na kupora mafuta.
  9. Mnyamwezi wa Urambo

    Magufuli, viongozi wote wa UKAWA wafilisiwe

    Nitamkubali zaidi Magufuri akiyaanika majina ya majambazi na majizi ya UKAWA yaliyopora fedha za ESCROW kupitia akaunti ya Stanbic bank.
  10. Mnyamwezi wa Urambo

    Naweza kumpata mpenzi wa kweli kwenye mitandao?

    Hii kitu Mimi huwasiielewi. Kwani wakwenye mitandao sio ndio Hao hao tunaowatongoza mitaani? Mimi nafikiri unaweza kumpata, ni wewe tu na uamuzi wako. Hao machangu na waliochoka wanajulikana kiurahisi tu kwenye mitandao na wastaarabu pia wanajulikana pia. Binafsi Sioni tofauti kutafuta...
  11. Mnyamwezi wa Urambo

    Ethiopia imeanza kutengeneza na kuuza vifaru vya kijeshi

    Hivi Jeshi la Ethiopia nguvu yake ipoje? Maana huwa sielewi nikiona ka-nchi masikini na kadogo ka-eritrea kakiwapelekesha.
  12. Mnyamwezi wa Urambo

    Bomoa bomoa yaanza Kurasini shimo la udongo kupisha muwekezaji

    Duh! Au chama chetu kinalipika kisasi baada ya kuangushwa vibaya urais,ubunge na madiwani kwenye jimbo la Temeke? Kweli sasa UKAWA tunaisoma namba.
  13. Mnyamwezi wa Urambo

    Joti na nafasi za wanawake katika matangazo, Je ni upungufu wa wanawake?

    Mkuu kweli lengo ni kufikisha ujumbe? kama ndiyo hivyo kwanini comedians pekee ndiyo waitumie njia hiyo na sio watu wengine kwenye kufikisha huo ujumbe? Na mbona comedians wakike wapo wengi kwanini wasitumike wao kufikisha huo ujumbe?
Back
Top Bottom