Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 928
- 275
Hii kitu Mimi huwasiielewi. Kwani wakwenye mitandao sio ndio Hao hao tunaowatongoza mitaani?
Mimi nafikiri unaweza kumpata, ni wewe tu na uamuzi wako. Hao machangu na waliochoka wanajulikana kiurahisi tu kwenye mitandao na wastaarabu pia wanajulikana pia. Binafsi Sioni tofauti kutafuta msichana kwenye mtandao na kutafutia mtaani.