Recent content by Mnyalu UK

  1. M

    Askari waliomteka Ulimboka ni wazalendo wa kweli

    Ifinu figwe pa lubali
  2. M

    Shibuda kurudisha kadi ya chadema kesho

    Anaweza kumpa ubunge wa VITI MAALUM
  3. M

    Makanisa zaidi Zanzibari yachomwa moto. Limo RC

    Nani awafelishe?? Wao tu ni vilaza.. Mwanaafunzi anaandika namba kwenye mtihani, msahihishaji atajuaje hii namba ya muislam? watu wengine bwana...
  4. M

    CCM: Mahakama ya Kadhi Ruksa kwenye katiba mpya

    Haswaa, mtu mwenye akili huwezi fanya hivyo
  5. M

    Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

    Pole sana, kama wewe ni mtoto wa hao hao magamba wa chama cha mafisadi utamkumbuka huyo baba riz 1. Kwa sisi wengine hatuna njia nyingine zaidi ya kuwaondoa madarakani...
  6. M

    Mwigulu Nchemba: Tuhuma dhidi yangu hazina ukweli wowote

    Mmmmmh!!! Zitto, Mnyika, Lissu.... cant be serious.....
  7. M

    M4C imekosewa mahesabu haitafanikiwa

    Magamba hayana uwezo wa kujipanga tena kwani watu wameshawagundua uongo na ufisadi wao!! Wamewachoka na hawadanganyiki tena....
  8. M

    Hata nikibaki peke yangu, CCM haifi - Nape

    Pole sana Nape, umeanza kutanga tanga maskini wa Mungu!!! Najua huwezi baki ccm pekee yako ndo maana uliamua kuanzisha ccj ukiwa ndani ya chama cha mafisadi. Ulipewa ukatibu mwenezi wa hicho chama pamoja na hivyo ulivyo kwa kuwa wote mpo sampuli hiyo hiyo, eti mil 500 unadhani chama cha...
  9. M

    CCM wahofia mkutano wa CHADEMA, wadai kuna mamluki wameandaliwa kuhadaa umma

    Haya magamba kwa kweli, mmmh yangu macho!!!!!!!
  10. M

    CCM wahofia mkutano wa CHADEMA, wadai kuna mamluki wameandaliwa kuhadaa umma

    Wewe Nape na wenzako acha hizo propaganda mlizozoea Chama Cha Mafisadi (CCM). Chadema hawawezi fanya ujinga wenu huo, na hadanganyiki mtu sasa hivi, subirini 2015 mtaona, hata vijijini mlikokuwa mnajivunia wanakijiji wote wameshaelimika. Mbona mnaogopa vivuli vyenu wenyewe????
Back
Top Bottom