CCM wahofia mkutano wa CHADEMA, wadai kuna mamluki wameandaliwa kuhadaa umma

Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

mbona huja mshtua mjomba wako mukama akawaumbue na hizo dekio zenu za kijni na njano??????
sanasana mnaivunjia heshima rangi ya kijani kwa vile sasa hivi imekua ya kuzaraulika tu ilihali inawakilisha kitu fulani katika bendera ya taifa letu hili lililojaa vibaka wa posta hadi wa magogoni...shame on you
 
Siku zote mimi huwa nakuwa fair. Tatizo CDM huwa hampendi kukosolewa.

Untitled-1.jpg

Rejao please try to face the truth.
And it shall set you free!
 
Chema chajiuza kibaya chajitembeza. CDM hawawezi kuwa na mawazo kama yaho unayofikiria kitakachotokea hapo Jangwani ujue ni LIVE usitake kupunguza makali ya tukio litakalotokea, hiyo ni kauli ya mfa maji
 
mimi nimeona leo tshirt zinatengenezwa za chadema hapa sinza karibu na machi machi lodge! lisemwalo lipo!
 
simple question
kama wameaanda hizo fulana na kadi za CCM watakazorudisha nazo wameziandaa pia?
yetu macho.
magamba mtalia na kusaga meno. tena nasikia kwa maksudi mna mpango wa kuchelewesha katiba mpya
kwani mnajua lazima iundwe tume huru ya uchaguzi ambayo itawanyima fursa ya kuiba kura 2015 lakini
ole wenu sasa mtajuta zaidi kwani wananchi wameshawachoka.hadaa zenu zitawatokea puani
kila chenye mwanzo kina mwisho.RIP magamba 1977-2015
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

Wewe Nape na wenzako acha hizo propaganda mlizozoea Chama Cha Mafisadi (CCM). Chadema hawawezi fanya ujinga wenu huo, na hadanganyiki mtu sasa hivi, subirini 2015 mtaona, hata vijijini mlikokuwa mnajivunia wanakijiji wote wameshaelimika.

Mbona mnaogopa vivuli vyenu wenyewe????
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

ungeonesha kwa waandishi wa habari hta vijana 10 tu ili ueleweke
 
Mtanzania wa leo haishi kwa propaganda. Mtanzania wa leo anajudge vitu kwa uhalisia wake. Kama hiyo ndiyo mbinu yenu ccm ya kutumia mamluki katika majukwaa ya siasa basi siyo chama chenye back-up ya nguvu ya umma. Sidhani kama cdm imefika mahali ikaanza kufanya madudu yanayofanywa na ccm. Ni mchezo wa kijinga kufanya upuuzi wa namna hiyo na nadhani kwa dunia nzima ni chama kimoja tu ambacho ni ccm kinachoweza kufanya hivyo.
 
Mkuu Rejao, kauli yako ni kama mtu anayesema "kesho jua litachomoza asubuhi", then unadai tusubiri tuone ili tujadili. Unatabiri mambo ya uhakika, utake usitake kutakucha tu.
 
Source Uhuru

Chama Cha Mapinduzi CCM kimeonyesha hofu yake juu ya mkutano wa CDM Jangwani na kudai CDM wameandaa vijana wao wapatao 300 kama watarudisha kadi za CCM na wakitaja kama ni mbinu chafu za kisiasa.

Sasa ni wazi mwizi mzoefu anajaribu kutoa mbinu anazotumia yeye kuiba na hii imejitokeza toka jana mara baada ya Nape kuingiza uzi huu jana
 
habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa chadema wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za ccm wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-ccm ambao wataikana ccm hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaccm wanaoikana ccm. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

mambo hayo huwanywa na ccm,kama kupakia watu kwenda kwenye mikutano yao ya siasa kwa aibu ya kukosa watu,sisi chadema watu huja wenyewe kwa utashi wao kabisa,hali kadhalika wanaojivua gamba wanaamua wenyewewe,sio kwa kuangwa baada ya kupata mchomo wa moyo,kutokana na ujumbe wanaopewa,hasa namna hawa majambazi wanavyoiba almasi,dhahabu,twiga hai,kuuza madawa ya kulevya,kuitafuana nchi kama mchwa,kuua watu wanaowapinga.ccm haikubaliki tushirikiane kuwaondoa hawa mafia.
 
CCM bwana wananifurahisha sana ..yaani kila siku ni kuweweseka tu...na wao si wafanye mkutano wao kwani shida iko wapi..
 
Dah! kwanini CCM waanze kujishuku??? Wananchi wanajua kabisa kinachofanyika ndani ya CDM siku zote hivyo si rahisi kupotoshwa.
 
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa CHADEMA wameandaa vijana mia mbili, ambao wametafutiwa fulana za CCM wazivae kesho katika mkutano wao jangwani lakini pia wamewafanyia semina vijana hao ili waseme kuwa ni wana-CCM ambao wataikana CCM hapo kesho katika viwanja vya jangwani.

Ni mkakati wa kilaghai kwa wananchi wa kujionesha kuwa wanakubalika kwa kuwarubuni baadhi ya watu ambao ni watu wao na kuwatumia kama wanaCCM wanaoikana CCM. Ili kuitangaza kauli mbiu yao ya “vua gamba vaa gwandwa”

Sehemu waliyofanyia semina hiyo imejulikana ni sinza, na mtu aliyewapatia jezi hizo pia amejulikana na hivi sasa yupo jengo la umoja wa vijana akihojiwa na kupewa stahiki nyinginezo. Wameumbuka...!

CHADEMA hawana mbinu chakavu kama hizo yaani kwanza hawawezi kupoteza muda kufanya hivo kwa kuwa hawana sababu ya kufanya hivyo...CHADEMA sio CCM na wala haiwezikuja kufanana na CCM...hizo mbinu ni zenu huko CCM....
 
Back
Top Bottom