Makanisa zaidi Zanzibari yachomwa moto. Limo RC

Mzanzibar anayeifahamu vizuri Zanzibar hawezi kuombea huu muungano uvunjike hata kidogo.
 
huu ni uonngo.... kanisa la mkunazini lipo ... vyombo vya habari vya tanzania vinatumika vibaya waandishi wamekosa la kuandika kama ngalia gazeti la nipashe hapa chini ..



553585_182038245255795_100003488636693_253867_545269492_n.jpg




hii pic ni mandamano ya morogoro yalifanyika miezi 4 iliyopita.lakini gazeti la nipashe na tz daima .wamandika waslam wa zanzibar wakifanya fujo.


 
haya makanisa ya kifedhuli yako znz???


Gay Friendly Churches in Africa


Kenya 1 church
Trinity Church Of Christ Nairobi City United Church of Christ
Nigeria 1 church
MCC Okigwe Okigwe MCC
South Africa 16 churches
MCC Good Hope Cape Town MCC
The Full Family Church Bloemfontein Non-denominational
Agapé Revelation Church Boksburg Non-denominational
Beth-Haran Boksburg Non-denominational
GCC Doorenfontein Non-denominational
Word of Life MCC Durban MCC
Deo Gloria Family Church KZN Durban Non-denominational
Real Life Church Jeffreys Bay Non-denominational
Hope and Unity MCC Johannesburg MCC
Reformerende Kerk Jhb Johannesburg Non-denominational
Die Kapel Melville Non-denominational
Beth-Haran Ministries Potchefstroom Non-denominational
Eastside Community Church Pretoria Interdenominational
Glorious Light MCC Pretoria MCC
Agallia Ministries Pretoria Non-denominational, Pentecostal
Reforming Church Pretoria Non-denominational
Tanzania 1 church
Pentecostal Evangelistic Church Mbeya Non-denominational
Uganda 1 church
Integrity Uganda unknown (see web site) Anglican
Kason Church Kabale Non-denominational
Huwezi kuwa na data kama hizi iwapo wewe pia si "chakula". Acheni uchafu wenu kututangazia.
 
Kwa hali hii ya udini inayoendelea zanzibar basi tumeshapata maana halisi ya dini ya kiislamu kiundani.
Tanx sana waislamu kwa kututendea haya mnayotutendea wakristo ila jueni kwamba.
"HAKUNA ALOWAHI KUTENDA UBAYA JUU ISRAEL NA AKAISHI"

Wajerumani waliwachoma moto hao Waisraeli kama kuni na bado wamejaa tele. Suala hapa muondoke Zanzibar then tugawane huko bara.
 
Tunaamini hali itakuwa shwari sasa, ingawa kilichofanyika ni uhuni mkubwa. Sina hakika kama kuna faida yoyote ya huu muungano, kama wanataka uvunjwe nadhani ni bora iwe hivyo. Lakini njia wanazotumia kudai kuvunjwa huo muungano siyo stahili, wanaharibu mali na kufanya uhuni wa ajabu sana. Baada ya kuona ile habari ktk gazeti iliyosema "HATUNA IMANI NA BARAZA NA MITIHANI" na kusema WAISLAMU WANAFELISHWA KWA MAKUSUDI nilishajua hawa jamaa sasa wanaanza chokochoko za kutaka kuanza kufanya vurugu. Ni uhuni sana!

Nani awafelishe?? Wao tu ni vilaza.. Mwanaafunzi anaandika namba kwenye mtihani, msahihishaji atajuaje hii namba ya muislam? watu wengine bwana...
 
Sasa hapo Muungano na kanisa unajua sipati picha nini kimejificha hapa kwa Wanzanzibari? Mmewapiga watawa wa watu, mmechoma kanisa na nyumba yao, mmeiba mali ndani ya kanisa na nyumbani kwa watawa imani yenu ndo inawatuma ivyo?

Mnatafuta watu waseme mpate cha kusema najua mnataka Kadrinary Pengo aongee mseme udini
 
Heading yako yaonekana kama ni habari mpya ambapo haijashabihiana uzuri na unachokizungumzia ndani, pia hujaistructure vyema na kuishibisha hoja yako ingawa ni ya msingi sana; fanya uiedit basi.
 
Kwa hiyo hili ni kanisa la tatu mpaka sasa...! Shein kimyaa. Kumbukeni mzaha mzaha utumbua usaha
 
Harufu mbaya sana inanukia kwenye hii thread! Kama sio kutoka kwa mwandishi, basi ni kwa waliomtuma!
 
Mkuu JF sio sehemu ya porojo ebu weka ushahidi wa hayo maneno yako.
 
When it comes to Zanzibaris i have
always been left dumbfounded with
their way of acting.May be there is
something in their holy book that makes them act in a weird manner.
In Zanzibar i believe the fight is against the whole concept of 'United Republic Of Tanzania' so how do they go all commando or should i say 'jihad' and end up vandalizing and burning
churches...!!!???
I think the correct move is to direct their protest and uprising to all govt buildings that deal with union matters.How do you turn a political unrest issue into a religious intorelance saga...!!!??
Lack of a clear vision and mission they
better sit down and go through their strategy once more if they even have
any,i bet some of the 'top muslim gang
leaders' are using this matter as a
reason to eradicate christianity from the Isle.Is religious beliefs a union
matter???What a stupid move!!!
 
Sasa hapo Muungano na kanisa unajua sipati picha nini kimejificha hapa kwa Wanzanzibari? Mmewapiga watawa wa watu, mmechoma kanisa na nyumba yao, mmeiba mali ndani ya kanisa na nyumbani kwa watawa imani yenu ndo inawatuma ivyo?

Mnatafuta watu waseme mpate cha kusema najua mnataka Kadrinary Pengo aongee mseme udini

Kumbukeni yaliyowasibu waumini/terrorists kama Osama, Gadafi, nk
 
mbona kwa tabia nyingi za kifedhuli mnasifika znz ikiwemo ushoga umetawala huko visiwani kuliko bara, mtasema na hilo watu wa bara wamewaletea??!!

Salaaam

Tuache kuzungumzia udini, hili kwa njia zote ni la kisiasa na hapo ni kwamba hawataki Muungano ujadiliwe tena. Kwa Wakristo wote ushauri wangu ni kupiga goti na kuendelea na sala, wakati huu ni mgumu sana na kwa akili zetu hatutaweza.

Mungu yupo kwa ajili yetu
 
Back
Top Bottom