Mzoamaganda
Member
- Aug 12, 2011
- 76
- 24
.CCM imekwisha kabisa
Hadi 2015 au???:sad:
.CCM imekwisha kabisa
Hadi 2015 au???:sad:
Kiongozi wa madaktari kufanya kikao na watu asiowajua?? au alikuwa anafikiria atapewa mlungula?
Mimi nina wasiwasi sana na huyu dokta Ulimboka!
Kumbukeni madaktari wameanzisha vita sasa katika vita hakuna kuoneana huruma ni mapambano mpaka ushindi uje.
Bado kuna mapungufu mengi upande wa madaktari, hakuna ulinzi kwa viongozi na nchi ishaharibika. Wahuni ndio wanachukuaga hatua za namna hii ukizingua kuna vikosi vya kukodi manzese nasikia, unabanduliwa halafu kipondo.
Sasa kama madaktari wako vitani wapunguze maneno na ngojera, vita ni vita mura!
Mkubwa hata mimi nakuunga mkono na nimeshaongea sana hapa jf.Suala la mgomo ni la madaktari wote nchi nzima,yeye anaitwa na watu asiowafahamu,anaenda na rafiki yake!!!Ina maana hii issue imekuwa ya kirafiki??Nadhani huyo Dr Ulimboka alikuwa anafikiri atapewa mlungula.Na kama alifikiri hivyo ina maana anaweza kupokea mlungula na kuwasaliti wenzake.HUYO HAFAI KABOSA NI MSANII NA MCHUMIA TUMBO TU.ANAFANYA SIASA AKITAKA ATUMIE MGONGO WA MADAKTARI KWA MASLAHI BINAFSI.
Kumbukeni madaktari wameanzisha vita sasa katika vita hakuna kuoneana huruma ni mapambano mpaka ushindi uje.
Bado kuna mapungufu mengi upande wa madaktari, hakuna ulinzi kwa viongozi na nchi ishaharibika. Wahuni ndio wanachukuaga hatua za namna hii ukizingua kuna vikosi vya kukodi manzese nasikia, unabanduliwa halafu kipondo.
Sasa kama madaktari wako vitani wapunguze maneno na ngojera, vita ni vita mura!
Hii habari umetumia akili yako au kuna sehemu umeitoa?
Aseee, hao jamaa wako wapi niwape walau bia mbili mbili za kujipongeza