Mwigulu Nchemba: Tuhuma dhidi yangu hazina ukweli wowote

Yea, wakati heading ya hii thread inasema: "Mh. Mwigulu Nchemba: Tuhuma dhidi yangu hazina ukweli wowote"

Huyo "yangu" ni nani?

Hiyo inaitwa Freudian Slip, kujikuta unasema ukweli bila kukusudia. Jamaa yetu alikusudia ieleweke kuwa "sredi" si yake bali ni ya mwingine (na kumbuka kuwa huyo mjumbe "mwingine" aliisoma thread kabla ya kujiunga na ikamkereketa hadi akajiunga leo kumtetea mbunge)!

Ndio maana mimi nina ID moja tu!
 
Yangtze........ umejisajili leo, tayari unahoji wazee wa siku nyingi "ati na wewe umejiunga na wapiga ramli" kama ni mgeni ulijuaje yupi ni yupi JF?? Tatizo la Mwigulu ni zile laana za kufakamia mke wa ustaadh, tangu afanye lile basi siku hizi anaropokwa tu YANGTZE = Yang Tanzania Economist [Grade ya chini kabisa wahed]

Tehe.tehe..mbavu zangu...Du nimecheka sana. You have made my day. Ebwana kweli wewe Janjaweed!Suala la mke wa Ustaadhi (Tehe..) mimi hilo silijui na wala siamini alifanya hilo jambo. Mimi sii mgeni hapa jamvini Janjawd.Lkn niseme tafsiri ya jina langu sio hiyo. Du...ila nimecheka sana. Mimi ni mkulima tu wa Iramba!
 
Aisee..mkuu Janjaweed..haya bwana...inapendeza kama maoni yangu mimi mkulima yanaonekana kama ya mtu mwenye first class degree...
 
Hahaaaaa... provocation always lead to something, reading a response to my YANGTZE definition imethibitisha nilichotaka kuachieve Well mchumi grade wani, its your call..... you brought up hoja ya kikorosho, then ukahoji mwenyewe inahusiana vipi na iramba, umeingia leo tayari umeshindwa kutenganisha style yako na yako.... At least patriq amekuonya na ufanyie kazi advice yake
 
Katika watu wabishi, huyu jamaa hafai...
Unajisikiaje kudanganya wasomi wenzako!!! Ama kweli ukiwa CCM unakuwa MBUMBUMBU au kichwa-butu!!!!!
 
Tehe.tehe..mbavu zangu...Du nimecheka sana. You have made my day. Ebwana kweli wewe Janjaweed!Suala la mke wa Ustaadhi (Tehe..) mimi hilo silijui na wala siamini alifanya hilo jambo. Mimi sii mgeni hapa jamvini Janjawd.Lkn niseme tafsiri ya jina langu sio hiyo. Du...ila nimecheka sana. Mimi ni mkulima tu wa Iramba!

wewe ni mwigulu tu watu wamekushtukia njoo kivingine
 
Aisee siku hizi Watanzania tumekuwa na tabia ya ajabu sana. Hata kama mtu akifufua mtu mwingine tutaponda tu ikiwa mtu huyo anatoka CCM. Mwigulu simjui lakini to be sincere, anafanya kazi ipasavyo. He is the likes of Zitto, Mnyika, Tundu Lissu etc
Hovyooo
 
Watu wengine bwana,sijui wanadhani JF kuna wajinga kiasi cha kujiunga leo leo na kujiwekea mazingira mazuri kumbe ni MAGAMBA waliokubuhu.
Tafuta style nyingine hii imeshindwa,Iramba hesabuni siku tu na muombe Mungu awaepushe na Mwigulu.

Ndugu zangu wana JF, huyu kijana namfahamu sana kinachomharibia ni chama alichomo. Badala ya kumwomba Mungu atuepushe na Mwigulu ni vyema tumwombe Mungu Mwigulu asome alama za nyakati na kuhamia CHADEMA, asipofanya hivyo wala hakuna sababu ya kupoteza nguvu katika maombi tayari atakuwa amejiondoa mwenyewe, hapo itakuwa sawa na kumuua marehemu.

Wana Iramba cha muhimu tutumie kundi la wazee wenye upeo wakiongozwa na mzee Mungereza wa Makunda na Mwl. Masangya wamwite wamshauri ili aondokane na CCM maana mwaka 2015 itakuwa sawa na kuuza dagaa ambazo kadiri muda unavyosogea zinaanza kukuvujia huku wanunuzi wakipungua. Angalia usije ukakwamishwa na CCM mambo yamebadilika sana. Uelewa wa wanachi umekuwa mkubwa mtaji wa CCM uliokuwepo wa ujinga wa watanzania umepungua kwa kasi sana, account karibu ibaki tupu si ajabu inaelekea kufungwa maana withdraw bila kudeposit ni hatari si na wewe unaona lakini.

Kijana wangu Mwigulu, hebu soma alama za nyakati wana-Iramba tungependa uendelee kututumikia, utakapopata nafasi hebu tembelea na maeneo ya SIMBALUNGWALA NA MUKULU tunahutaji huduma yako.

Shekulu akukembete
 
Huwe sielewi maana halisi pale mtu wa CCM anaposema "tuna kila sababu ya kushirikana kwa umoja wetu kuleta maendeleo yetu?. Tushirikiane kivipi? Hivi kweli watanzania hawashirikiani? Na bado sijajua 'defination' ya maendeleo inayotumiwa na CCM?
 
Huyu sio ndio yule mzinzi mkuu wa nyinyiem?

Kati ya mikoa yenye wawakilishi/wabunge wabovu ni Singida, only hon. comrade Lissu to the rescue.
 
Umeshasema ni tuhuma za uongo sasa unajibu nin? unajibu uongo? you must be mad
 
Sasa hapa umefunguka vizuri! Labda niseme hivi, Nchemba hakusema kwamba akiba ya fedha za kigeni ni nyingi kupindukia, bali alionesha kumshangaa mchumi mwenzake (Zitto) kushindwa kuwasiliana na wahusika wa BOT wampe figure kamili ya foreign currency. Matokeo yake Zito alikwenda kwenye unupdated BOT website akakosa current info alizozitaka then akahamua kupiga ramli. Ramli ikamwambia kwamba kama kwenye web hakuna current info basi maana yake akiba ya kigeni imekauka..which is not true! Sasa Nchemba alipoona habari kwamba akiba ya kigeni imekauka akawasiliana na wahusika, wakapa figure, then akaiweka hewani ingawaje aliiweka huku akimponda Zitto kiaina. Sasa nadhani hakujua Zitto ni kipenzi cha wengi na hutetewa hata anapokosea hivyo dhahama ndio ikamuangukia..na wewe ni shahidi ktk hili kwani bado unaliendeleza...

Mbona unamuelewa Nchemba kwa kiwango cha kustaajabisha hivi? Au wewe na Nchemba ni mtu mmoja?

Kisha nani kasema kwamba Nchemba alisema akiba ya fedha za kigeni ni ya kupindukia?

Mbona lack of comprehension on your part inafanana sana na lack of comprehension on Nchemba's part?

Yaani unaprotest sana sana kwamba wewe si Nchemba, lakini kila unavyozidi kuandika ndivyo unavyozidi kutudhihirishia kwamba wewe ndiye Nchema.

Kuanzia Kiingereza chako cha kuunga unga mpaka that facetious attempt at rhetoric somersaults. Kazi za watu hizo, uki fake unaonekana tu.
 
si alikuwepo iramba mwigulu ameondoka 24/5/2012 na akahutubia na kuiponda cdm kwa sana, na kugawa laki moja moja kwa akina mama wauzao sokoni na vijana
 
Aisee siku hizi Watanzania tumekuwa na tabia ya ajabu sana. Hata kama mtu akifufua mtu mwingine tutaponda tu ikiwa mtu huyo anatoka CCM. Mwigulu simjui lakini to be sincere, anafanya kazi ipasavyo. He is the likes of Zitto, Mnyika, Tundu Lissu etc

Kwani zitto naye anavaaga liskafu siku hizi! au wana ufanano gani! umemdown grade zitto au umemupgrade nchemba?
 
Which boat? Which guy? Which point?

I don't see even a plane, let alone a point.

Hii ni JF, sio kilabu cha bongolala kinachoruhusu watu kupigiana propaganda bila hata kushughulisha ubongo.

Im in line with you! The only thing which this guy has said it showing us the timetable of his Mp! Does this tell anything? Being there, even for the whole year doesnt matter. What has he done? Can we see his impact at national level?
 
Back
Top Bottom