Hata nikibaki peke yangu, CCM haifi - Nape

Maneno hayo yamesemwa na Nape akiwa huko Bukoba. Sijui alikuwa anafurahisha nafsi au alikuwa anataka kuonyesha kuwa kwa cheo alichonacho hawezi tena kwenda South kuchukua rasimu ya Katiba for CC...!

Source: Taarifa ya habari ya saa mbili usiku huu ITV

Achana na Vuvuzela huyo muulize chama cha Jogooo KANU kiko wapi na hao walikuwa na nguvu kuliko hichi chama cha mafisadi. Halafu aulizwe CCJ ilikuwaje yeye si alikuwa muanzilishi?
 
Nape kwanza kawatukana wana CCM, yaani ina maana ni rahisi kuasi wengine wote isipojuwa yeye.

Duuuh kweli kawashushia hadhi kweli wanaCCM wenzake.
 
Angalia vocha ulopewa na Dr kujadili positive mkutano wenu wa kisanii jangwani isijeisha ikaadhibiwa bure, angalia wote mnajadili Nape badala ya kujadili kwanini mmetumia 500mill na mkutano wenyewe ndo ule, wale vijana mlowanunua kuja na nguo za CCM wamekimbilia wapi?
Nape ndugu yangu ubadilike, au unaweza kukaa kimya kama katibu wako mkuu na ukaheshimika! Mimi ni mwanaCCM unaniumiza bwana!
 
Angalia vocha ulopewa na Dr kujadili positive mkutano wenu wa kisanii jangwani isijeisha ikaadhibiwa bure, angalia wote mnajadili Nape badala ya kujadili kwanini mmetumia 500mill na mkutano wenyewe ndo ule, wale vijana mlowanunua kuja na nguo za CCM wamekimbilia wapi?

Acha uzushi Nape, kwani wewe ndiye mhasibu wa CCM mpaka ujue gharama za mkutano ule?
 
Jamani, ninaomba muelewe kwa makini kuwa, "Kinachomfanya Nape Nnauye Ale, Avae, Alale, ni maneno ya mdomo wake na mara nyingi maneno ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini ila akishatumwa aseme hivyo, hana budi ya kutekeleza".

Muoneeni huruma kijana mwenzetu! Siku moja ataokoka na atajivua Gamba tu....!

Lakini kumbukeni ya kwamba, hata KANU ilipokaribia kunyang'anywa madaraka nchini Kenya, "Viongozi wao, Mpaka Dakika ya Mwisho walisema, KANU hakiwezi kuangushwa na vyama kama, PNU na Vingine". Je KANU leo hii kipo madarakani?

Bwana Muhammad Saeed al-Sahhaf, Aliyekuwa Waziri wa Habari na Msemaji wa Serikali ya Aliyekuwa Raisi wa Irak, Marehemu Saddam Hussein walipovamia na majeshi ya Kimarekani, Uingereza, na NATO, hata nusu saa kabla hajakamatwa,alipiga propaganda kuwa, "...Karibu Jeshi la Irak linashinda vita ile..." Je maneno yake yalikuwa ya kweli? Walipigwa hawajapigwa?

Jamani mfa maji, Haaachi.....!

Kaka endelea kula mshahara, endeleza propaganda wasikufukuze kazi...!

Well said Mkuu..M4C
 
Nadhani baada ya kumtaja Nape sasa utalala.... Aaaah hahahaa magamba bwana mna tabu sana!

Mkuu vp mbona umeandika magamba badala ya magwanda? Kazi yako uliyopewa ni ngumu. Wamekutega mkuu hiyo ndo kitanzi chako!
 
Jamani, ninaomba muelewe kwa makini kuwa, "Kinachomfanya Nape Nnauye Ale, Avae, Alale, ni maneno ya mdomo wake na mara nyingi maneno ambayo hata yeye mwenyewe hayaamini ila akishatumwa aseme hivyo, hana budi ya kutekeleza".

Muoneeni huruma kijana mwenzetu! Siku moja ataokoka na atajivua Gamba tu....!

Lakini kumbukeni ya kwamba, hata KANU ilipokaribia kunyang'anywa madaraka nchini Kenya, "Viongozi wao, Mpaka Dakika ya Mwisho walisema, KANU hakiwezi kuangushwa na vyama kama, PNU na Vingine". Je KANU leo hii kipo madarakani?

Bwana Muhammad Saeed al-Sahhaf, Aliyekuwa Waziri wa Habari na Msemaji wa Serikali ya Aliyekuwa Raisi wa Irak, Marehemu Saddam Hussein walipovamia na majeshi ya Kimarekani, Uingereza, na NATO, hata nusu saa kabla hajakamatwa,alipiga propaganda kuwa, "...Karibu Jeshi la Irak linashinda vita ile..." Je maneno yake yalikuwa ya kweli? Walipigwa hawajapigwa?

Jamani mfa maji, Haaachi.....!

Kaka endelea kula mshahara, endeleza propaganda wasikufukuze kazi...!

asipo ku quote atakuwa amekuelewa vizuri.
 
Nadhani baada ya kumtaja Nape sasa utalala.... Aaaah hahahaa magamba bwana mna tabu sana!

Kuna Mtu juzi alisema hapa kwamba Nape anaipenda sana CHADEMA kutoka moyoni, akisema ..

Jamaa Hawezi kaa bila mdomo wake kutaja neno chadema, ata akihojiwa kwenye vyombo vya habari ata kama mada haihusiani na chadema lakini utasikia anaitaja chadema..Juzi kati apo General anamhoji ata havihusiani na chadema lakini kaitaja badae akajistukia, kama vipi hamia chadema wewe na jamaa zako

Nadhani sasa naanza kuamini Kwa jinsi Mtu huyu anavyoshindwa kutamka Magwanda anasema magamba.. Kisaikolojia anajilaumu sana Kwa kuwa Ccm Magamba Na moyoni all days anailaani Ccm but afanyeje ndio inayompa kula..

Leo kadhihirisha kwamba iko siku Ccm atajikuta amebaki peke yake.. Kishajitabiria hivyo..
 
Hata ccm ikifa utapakid peke yako kwa kuwa unajua kwamba huna mahala pa kwenda kwani hakuna atakaye kupokea kwani gamba lako haliyeyuki.
 
Angalia vocha ulopewa na Dr kujadili positive mkutano wenu wa kisanii jangwani isijeisha ikaadhibiwa bure, angalia wote mnajadili Nape badala ya kujadili kwanini mmetumia 500mill na mkutano wenyewe ndo ule, wale vijana mlowanunua kuja na nguo za CCM wamekimbilia wapi?

Ile ilishtukiwa mapema wakaona noma bora waache
 
Too low propaganda..hivi milioni mia 5 bila kuwepo viti,maturubai kibao,kusafirisha wanachama,posho kwa wahudhuriaji etct kama mnayofanyaga ninyi inafikaje fikaje??. Usilete experience ya ki-ccm hapa..Nazidi kushangaa ilikuwaje ccm ikampa uenezi mtu kama huyu.

Pole sana Nape, umeanza kutanga tanga maskini wa Mungu!!! Najua huwezi baki ccm pekee yako ndo maana uliamua kuanzisha ccj ukiwa ndani ya chama cha mafisadi.

Ulipewa ukatibu mwenezi wa hicho chama pamoja na hivyo ulivyo kwa kuwa wote mpo sampuli hiyo hiyo, eti mil 500 unadhani chama cha mafisadi hiki???
 
Ee nape unaongelea ccm ipi? Mbona ilisha kufa zamani. Kitu kinachozaliwa, hukua, huzeeka na kisha hufa. Pole kwa kujiaminisha kuwa ccm ipo na umegundua umebaki peke yako.
 
Kwa post zako Nape unakidhalilisha cheo chako
Mipasho hiyo ni bora ukatumia zile ID zako zingine.
Jk analala anajua an katibu mwenezi kumbe kilaza
 
Back
Top Bottom