Recent content by mnyalu d

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi abaka mtoto wa Mika 6 anayesoma Shule ya awali!

    Huyo atakuwa sio police, kweli police afanye kitu kama hicho?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wahariri wapuuza agizo la viongozi wa TEF

    Njaaa kitu kingine Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa watumishi hewa wakamilika, ahadi ya Magufuli ya miezi 2 yatimia

    Sawa kaka nashukuru kwa ushauri wako. Fursa ipi itakayo niwezesha kuajiri wengine?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa watumishi hewa wakamilika, ahadi ya Magufuli ya miezi 2 yatimia

    Ndg watz wenzangu hivi ajira zitatoka lini? Maana naona kama Mwaka unaisha hivi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ucheleweshaji wa pesa za kujikimu kwa wanafunzi ni tatizo kubwa sasa

    Jaman tuwe wavumilivu. Serikali yetu inatujali saana. Ipo siku kila kitu kitakuwa sawa na tuta enjoy maisha.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

    Lakini kama yeye ana elimu hiyo ya Dr. Si aende akatafute kazi kutokana na elimu yake
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye biashara ya Ngono yarejea kama kawaida

    Good news
  8. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Kwa kweli kama huyo makufuli ndio Atakuwa rais basi wabanchi tutakuwa hatarini sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    CCM kuna nn jipya
  10. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Magufuli hawezi pata kura hata kidogo
  11. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Ukawaaa juu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za Walimu 2014/2015

    Vuta subira ndugu zangu. Ajira zipo ila Mwaka huu umekaa vibaya matukio mengi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee amsambaratisha Magufuli

    We Wa wapi. Kadi zinaoneka zipo nyingi harafu unasema moja. Acha ushabiki Wa kunguru kufatilia mizoga
  14. M

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee amsambaratisha Magufuli

    Yap kama chato itamuondoa magufuli pombe. Mambo yatakuwa balabala
Back
Top Bottom