UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

UKAWA VS CCM KATIKA URAIS

  • UKAWA

    Votes: 757 85.2%
  • CCM

    Votes: 118 13.3%
  • NONE OF THE ABOVE

    Votes: 13 1.5%

  • Total voters
    888
Status
Not open for further replies.
25 October 2015 ni siku maalum ya KUMWAGA POMBE ! Kumbuka ule muziki wa "Nani Kamwaga Pombe Yangu !!!" atajulikana siku hiyo!!!
 
Only if JF members were the only voters in Tanzania. Mleta mada kama hizi data unategemea kuzitumia kufanya inference ya the entire population ya watanzania unaenda kukomiti error. Hakuna representation ya makundi mbalimbali ya watz hapa.

Kwani wewe unayajua makundi yote yaliyopo humu JF?
 
Ukimwana mdada ana chagua CCM ujue ndio wale wanaolelewa na kina John Komba. CCM viongozi kila wanapoenda mikoani kwenye kampeni wana wanawake tofauti..
 
Ukawaaaaaaaa.....Lowassaaaaaaaa

kama kawaaaaaaa.....!!! We need CHANGE...time for CHANGE...!!!
 
Mwaka huu hata wahindi wa Ksriakoo watapigia kura UKAWA,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom