Recent content by Mnyakyegi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Bomu la atomic Hiroshima

    Marekani waliamua kudondosha Atomic Bomb baada ya Japan kuzishambulia meli zaidi ya 6 za wamarekani zilizokuwa zikitoa war supplies kwa nchi washirika wa marekani hizi meli zilizamishwa pale Pearl Harbour, Kutokana Wajapan kuwa wabishi ndipo Marekani wakaamua kuufata ushauri wa Myahudi Mmoja...
  2. M

    JamiiForums Tanzania The Man behind 2PAC's Death

    Theory ni nyingi sana juu ya kifo cha PAC ila ni kwa nini Suge Knight alimwambia pac waende kwanza kwake? Na kwa nini pia Suge Knight alishawish Pac amruhusu body guard wake akaendeshe gari lingine?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa meya wa Ilemela, Henry Matata afikishwa Mahakamani Kwa Matumizi Mabaya ya Madaraka

    Matata sasa anajuta kwa utata wa kisaliti alioufanyaa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya kwimba yapelekwa Dar kihuni.

    Kwimba ni Sugu,pale halmashauri panahitaji kutumbuliwa,kuanzia Idara ya elimu na kwingine ni uozooo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Shein amehudhuria kama nani kwenye mkutano wa EAC?

    Huyu Jamaa ahana aibu hata kidogo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Raia wa Uganda kuongoza NSSF: Ombeni Sefue, Eric Shitindi & Jenista Mhagama wajiuzulu

    Tanzania yote hii hakuna mtu mwenye uwezo wa kushika nafasi hiyo mpaka apewe mganda?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Rifaro Africa yafungiwa na TCRA, yatozwa faini!

    Daah kuna huyo mdada sijui nani alimpa namba angu kila siku akawa anakomaa kunishawishi kumbe ni kekundu kekunduu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

    Bongo eneo la siri ni Mabwepande :shock::shock::washing:
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    wanapeleka mrejesho wa vitu walivyochuma kwenye mikoa ya watu wasiochangamkia fursa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dogo Jembe: Usilete Udini na Dharau, Tanzania Siyo ya Baba'ko!

    tusiwe washabiki,Makamba kafanya nini? Au katoa mchango upi pale Bungeni mapaka kusema ana uwezo?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

    jK sijui hakuliona hili
  12. M

    JamiiForums Tanzania CCM inakufa natural death

    Wakibanwa vilivyo kulipa kodi mambo yatakuwa sawa,maana pesa za kampeni wao ndio wanatoa kwa makubaliano ya kutokulipa kodi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za Ualimu

    Usikate tamaa Ajira zipo ila mpaka mwakani,maana kuna shule huko ndani ndani mpaka Leo zina walimu 3.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Dada Eva,kwimba kubwa labda useme Ngudu,,Muamala na baadh ya Maeneo machache ndo kuna maji ya ziwa victoria maeneo Mengi maji ni ya shida sanaa,,Mfano hapo Hungumalwa Maji ni ya kununua kwe matorori tena yenye chumvi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mimi nataka aje pale halmashauri Ndipo kuna ukiritimba Mwingi,hongo na kujuana ndio vimekithiri.
Back
Top Bottom