Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Nauliza tu,
Hivi nimeona mtu kama Dr. Shein kwenye mkutano wa EAC ambao ulifanyika Arusha.
Je mtu huyu amehudhuria kama nani? Katika mkutano ni akina nani wanaruhusika kuwemo ndani ya mkutano ule mbali ya wageni waalikwa!
Napenda kueleweshwa pengine wamo wengine wasio na uelewa kama mimi.