CCM wanamshitaki Mh LOWASA kwetu wananchi kuwa ni mwizi baada ya wao kushindwa kumu hukumu:
Sasa basi hukumu yetu sisi wananchi ni october 25:
Ambapo sisi wananchi tutamfunga miaka 10 IKULU; Pamoja na adhabu kali ya kututumikia sisi wananchi kwa kutupa elimu ya uhakika, huduma za afya bora na...
Jamani mbona Hajamtaja mtu Ambae anatarajiwa kuwa ndio kiongizi msafi asie na makundi,ambae watu wengi wanatajia kuwa ndio atakuwa mrithi wa kikwete ambae ni Mh waziri mkuu wa Tanzania Mizengo Peter Pinda.
Jamani mmeanza kusahau hii vita chanzo chake, chanjo ni Zito Kabwe kuonyesha nia ya kuwa mwenyekiti wa taifa wa chadema ndio vita inaendelea Je kama zito angesema siku nyingi Habari hizi za mbowe kupokea pesa kwa vigogo wa CCM ingekuaje kwa zito, kuweka nia ya uenyekiti yamemkuta haya!
Zitto Kamjibu Lisu, kama kweli Mkono kamwambia alimpa magari mawili basi Mkono huyohuyo atakuwa kamwambia Na Mbowe alishampa pesa nyingi tu Mbowe mnaanza kuhoji kuwa Zito hakusema siku nyingi, amesema sababu Tundu Lisu kaambiwa aseme ya mkono, kwanini hakusema ya Mbowe kupewa pesa na Mkono?
Zitto Zuberi Kabwe, ni mwanachama mkongwe katika chadema kuliko hao vibaraka waliongia juzi chadema kutoka vyama vingine, zito si msaliti bali hawa wageni wa juzi walioingia chadema kufata madaraka. kila chama kina ukomo wa nafasi ya uenyekiti, sasa hawa wachaga wanataka tena mwenyekiti atoke...
Na yule Hawara wa Mbowe Joyce Mukya na yy arudishe posho zote za kwenda dominica.,sababu alirudishwa Dubai na bwana yake Mbowe ili watanue kwa pesa za serikali,
Nyie mnao post ujinga kama huu, ndio mnasababisha kila siku mtu kusema mambo ya kwake kwa watu wengine, ya kwake binafsi yanatuhusu nn cc, muwe mnapost mambo ya maana kila siku mnapost mambo ya umbea tuu, mnawapa kichwa hawa madada zetu wasiotulia.
huyo jamaa aliefanyiwa unyama na polisi wa chang'ombe, na Hakuna ushahidi wowote, juu ya tuhuma kama alitembea na huyo mke wa polisi,aliemfanyia hivi yupo, kinachotakiwa ni kwenda mahakani ili kila mtu alete ushahidi wake, huyu jamaa alisha sema kuwa polisi walimpiga na kumwagia tindikali...
amaa kweli duniani kuna watu na viatu, unashindwa kumsaida mwanamke mwenzako, na hali yake umeiona akivuja damu! mataizo ya binadamu yanamkuta yeyote chini ya juwa. pole sana dada Ufoo, Inshaalah mwenyezimungu atakusaidia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.