sapiwi
Member
- May 29, 2014
- 17
- 5
nionavyo mimi ni kutafuta misifa tu,hakuna cha uzalendo wala nini.Spika Makinda amemwamuru Mwigulu kuvua mara moja ndani ya ukumbi wa bunge leo jioni!
Pongezi spika kwa kumkumbusha Mwigulu nidhamu ya bunge!
nionavyo mimi ni kutafuta misifa tu,hakuna cha uzalendo wala nini.Spika Makinda amemwamuru Mwigulu kuvua mara moja ndani ya ukumbi wa bunge leo jioni!
Pongezi spika kwa kumkumbusha Mwigulu nidhamu ya bunge!
Inabidi watu wajifunze kuheshimu ofisi za umma wanazokabidhiwa, ni aibu sana waziri kuishi kiholela holela.jamaa ni mchumia tumbo mkubwa!!!!
Kitandani? Dah nimeamini, 'you may take a man out of the village, but you cannot take out the village in him'.Katika yote mie nampa sifa Mwigulu kwa hili pekee.
View attachment 161334
Sent from my iPad using JamiiForums
Ngoja kije chuma chakavu teh teh kinahema kama roho inatoka..Assume wewe ni Juliana Shonza,utajibu nini asiyekujua akakuuliza unafanya kazi gani na wapi?
sijui kama unamaanisha ukweli halisi kwa maana halisi ya uzalendo. Huyu ndg nimemsikia na kumuona mwenyewe. maneno anayoongea hayana uzalalendo wowote kwa wananchi na kwa taifa. Ukikutana naye daima amevaa skafu, swali, je, ni kweli ni skafu? je ni kweli ni mzalendo? kwa maoni yangu ni hapana sio mzalendo. Mzalendo wa kweli hawezi kumwita, Mtanzania tena binadamu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu, GUNZI.Acheni wivu MWIGULU ni mzalendo kwel
Petro E. Mselewa una wivu wa kike!
Mwigulu ameifanya skafu kuwa handaki la kufichia maovu yake.