Wabunge watafuna Posho hovyo! CCM, CHADEMA wote washiriki mchezo mchafu

Hv wana JF mwajua this place is for great thinker? Na cyo place ya matusi? If you think nothing leave the thread,tusilete ushabiki tujenge hoja for our country tena tu provide constructive comment cyo kuropoka ili tu uonekane uko jf au to show up members how stupid you are let's be great thinkers
 
[h=1]raia mwema ina nakala ya waraka na email aliyomwandikia katibu wa Bunge wakati bado kamati ipo nje ya nchi na kwa taratibu za kawaida angweza kuungana na kamati yake baadaye kama ambavyo wengi huwa wanafanya wanapokuwa na jukumu zaidiya moja kwa wakati mmoja. Baada ya kumwandikia barua aliandika na email kukumbushia. hii hapa chini

Ziara ya kamati ya bunge ya maendeleo ya jamiijamii
Inbox
x
[/h]
AIbEiAIAAABDCKW-sov5hOqVLSILdmNhcmRfcGhvdG8qKDAxMWE0MjllMzY4ZjVmZThhMzJkNjlhMjE2MmYxMGE5Njg3ODVlMjMwAWDW5m4PkESsL0uKzip7DsRNbnK3


Josh Nassari <jsh.samwel@gmail.com>
Nov 28
cleardot.gif


to thomasdidimu
cleardot.gif


Katibu wa Bunge,

Salaam, napenda kuijulisha ofisi yako kuwa nilipaswa kwenda Ziara ya mafunzo nakamati yangu ya kudumu ya bunge ya maendeleo ya jamii nchini Malaysia.
Kwa sababu zilizo juu ya uwezo wangu niliamua kusafiri baada ya kamati kusafiri kwa sababu ya harambee nilipaswa kuiongoza kanisani jimboni kwangu.
Baada ya harambee hiyo ikajitokeza dharura nyingine jimboni kwangu ambayo mpaka sasa imenizuia kusafiri kuungana na kamati yangu.



Nilishapokea posho ya kujikimu toka ofisi ya Bunge. Pls advise as per this matter ili ya kaisari nimpe kaisari na ya Mungu nimpe Mungu.


Hope all is well.

JN.

cleardot.gif
 
Mimi najiuliza wabunge wa ccm kuchukua hizo posho na kufuja sio jambo geni nikawaida.Ila Nasari mpk akumbushwe ndio arudishe aaaaah hiyo zuga tuu na asipoambiwa ndio balance c/f inakuwa zero?Kama hujatumia a/c ya bunge najua wanazo wadeposit slip watuletee hizi hbr mpk wastuliwe hayo mambo ni WIZI MTUPU HAMNA POINT HAPO.
 
Chezea Wachagga kwenye Pesa hata kuuwa wanaweza kuuwa,Unafikiri DJ kwanini hataki kuachia Uwenyekiti,ni Ruzuku ya kila mwezi matumizi. yake wanajua watu 3 tu.Mboe Slaa na Komu tu.
 
Cha muhimu arudishe fedha za walipa kodi hizi nyingine ni porojo tu.

Kwa nini arudishe tu? Nashangazwa sana na mawazo ya aina hiyo, ukweki ni kuwa anatakiwa awajibike kwa mujibu wa sheria. Huo upuuzi wenu ndio umetifikisha hapa kama Taifa kiasi kwamba hata wezi ambayo kwa mujibu wa sheria ni jinai; nao wanatakiwa warudishe!
 
Mwongozo gani alikuwa anasubiria? Amechukua hela hajaenda safari anabidi arudishe, apewe na risiti. Hayo mengine ni janja ya nyani kula mahindi mabichi....
 
Chezea Wachagga kwenye Pesa hata kuuwa wanaweza kuuwa,Unafikiri DJ kwanini hataki kuachia Uwenyekiti,ni Ruzuku ya kila mwezi matumizi. yake wanajua watu 3 tu.Mboe Slaa na Komu tu.

It is not you, but the Devil himself, who is working within you. The devil love hatrage, enmity, divisions, and the like.

Kama wewe ni mfuasi wa chama cha siasa, basi chama hicho ni mfu, kama sio mfu, maombi yangu juu ya chama hicho ni kuwa KIFE!
 
Hv wana JF mwajua this place is for great thinker? Na cyo place ya matusi? If you think nothing leave the thread,tusilete ushabiki tujenge hoja for our country tena tu provide constructive comment cyo kuropoka ili tu uonekane uko jf au to show up members how stupid you are let's be great thinkers

Naunga mkono hoja!
 
Tuache utoto, kweli Nassari hajui utaratibu kuwa kama hujasafiri unatakiwa kurudisha hiyo pesa mpaka apewe Mwongozo?? Na huyo wa CCM, Zambi ndo wale wale tu!! Wasingebanwa wangerudisha??

Swali hapa, ni je, ni wangapi miaka ya nyuma walikuwa hawarudishi na walikaa kimya?? Bunge la Masilahi hili!
 
Hv wana JF mwajua this place is for great thinker? Na cyo place ya matusi? If you think nothing leave the thread,tusilete ushabiki tujenge hoja for our country tena tu provide constructive comment cyo kuropoka ili tu uonekane uko jf au to show up members how stupid you are let's be great thinkers

Naunga mkono hoja!

Tatizo humu jamvini tupo watu wenye uzoefu, elimu na background tofauti ukiongezea tena tumeathiriwa na ushabiki wa kisiasa kuna wengine wanashindwa kuangalia mambo kwa kuwa neutral, kama mtu yoyote aliefanya kazi either serikalini au sekta binafsi kanuni za kufanya retirement huwa zipo na zinajulikana kwani mara nyingi ela ya safari unapopewa hata kama umepewa ya siku zote ambazo utakapokuwa huko kwa mujibu wa ratiba bado hiyo hela itakuwa ni advance payment kwani kuna kuzidisha siku au kupungua siku kutokana na dharula hivyo hata utakapokuja kufanya retirement utafanya kwa mujibu wa siku ambazo umekuwa huko, tumefika hapa kwa kuwa serikalini huwa hawazingatii na mtu anaweza akachukua posho mara mbili tarehe hizo hizo na bado akafanya retirement na ikapitishwa na kama viongozi wanafanya hivyo kwanini kila mtu asifanye hivyo mwisho wa siku hata hawa wabunge ambao wengine ni underground hawajawahi kuingia kwenye utumishi wa aina yoyote kabla ya kuwa wabunge wakadhani ndio utaratibu na ndio maana hata Nassari akaandika barua kuomba mwongozo wa nini kifanyike maana huenda hajui taratibu zikoje kutokana na kwamba waliomtangulia huwa biashara ya kurudisha ela huwa haipo au vile vile ni mtego wa kuonyesha hana nia mbaya hivyo anaonyesha uungwana wa kuandika email ili ikibumburuka iwe tayari alishaandika email na kwa kuwa system ndivyo ilivyo hata jibu halijatoka kwa wakati maana ukiandika email wengi hawajiamini hawezi kukupa majibu kwa kuwa imezoeleka watu kutumia simu zaidi kuliko maandishi.

ILA WANAPIGA HELA AISEE WAKATI WENZANGU NA MIE HUKU KAMA UMETUMWA SEHEMU NA OFISI IMEKULIPA NA KAMA HUKO ULIKOALIKWA UKALIPWA NA IKAGUNDULIKA UMELIPWA UNATEMA FEDHA LAKINI WENZETU WANACHUKUA TU ila tusiwalaumu sana wao kama wao tuangalie upande wa pili pia ambao unaohusika na management ya fedha maana fedha kama fedha zinatakiwa ziwe na utaratibu na ikiwezekana mahesabu yote / retirement iwe imefanyika siku kadhaa mara baada ya kutoka safari kwani wenzetu hawa anaweza akaenda safari retirement ikafanyika April mwakani.
 
Mwongozo gani alikuwa anasubiria? Amechukua hela hajaenda safari anabidi arudishe, apewe na risiti. Hayo mengine ni janja ya nyani kula mahindi mabichi....
Kweli mkuu maana hela unapochukua lazima kutakuwa na ya lodging pia na matumizi mengine, sasa wenyewe ela zao huwa wanapewa kwa style gani sijui mpaka waombe mwongozo maana utafanya retirement kwa mujibu wa siku ulizoenda huko zinazobaki unarudisha zinakuwa amount due to employer unless kama wakipewa hela huwa ndio imetoka inakuwa kama zawadi na retirement inafanyika automatically

Unarudisha wapi? kwa nani? kwa utaratibu upi? Sheria/kanuni zinaelekezaje kuhusu jambo kama hili?

Mkuu ukichukua ela ya safari hata kama umeenda safari mwisho wa siku unatakiwa kufanya retirement ya namna gani umetumia hela kwani unaweza ukawa umepewa dola 200 kwa ajili ya Hotel hivyo lazima uje na viambatanisho vya hotel uliyolala maana inawezekana ukawa umelala hotel ya dola 150 hivyo hiyo 50 ni change inabidi irudi (ela za safari huwa hazitolewi kama unavyotoka mshahara kwamba mwajiri wako hakufuatilii kwenye matumizi but kwenye posho za safari lazima mwisho wa siku ulete viambatanisho) nadhani wanajua taratibu unless kama alitaka mwongozo wa either azitumie ili safari nyingine ikitokea hatapewa posho ya safari atazitumia hizo hizo.
 
Huo nao ni ufisadi kama ufisadi mwingine tu.

Angerudisha immediately baada ya kugundua kuwa hatakwenda kwenye hiyo safari sio mpaka ashtukiwe!

Kurudisha immediately maana yake nini?pesa za serikali unapewa kwa imprest na hatimaye utafanya retirement baada ya kurudi kwa kuonyesha risiti na tiketi kama zipo na kurudisha pesa iliyobaki kama haikutumika.Sasa ni nani amekuambia kuwa hajafanya retirement kwa wakati?Halafu unaposema ufisadi,unataka kuhalalisha wizi unaofanywa na viongozi wako wa serikali kwamba ni halali kwa vile Nasari amechelewa kufanya retirement?Hivi huwezi kufikiri hata kidogo tuu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Na yule Hawara wa Mbowe Joyce Mukya na yy arudishe posho zote za kwenda dominica.,sababu alirudishwa Dubai na bwana yake Mbowe ili watanue kwa pesa za serikali,
 
Huo nao ni ufisadi kama ufisadi mwingine tu.

Angerudisha immediately baada ya kugundua kuwa hatakwenda kwenye hiyo safari sio mpaka ashtukiwe!

angerudishaje, fedha za serikali zina taratibu zake. zinaingia akaunti ipi, unaweza kumpa mtu yeyw akazila, nfio maana aliomba mwongozo
 
Back
Top Bottom