Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

Status
Not open for further replies.
kama ulikuwa hujui nini ZITTO ZUBERI KABWE,alichoshitaki mahakamani,kaa kimya mtatuumiza vichwa bure sasa.
 
hapo ni sawa mahakama imesema kamalizaneni wenyeywe.
 
Kigeugeu wewe, Kama sio ushindi ni nini huo. Kama hapakuwa na kesi hapo nini kilichowapeleka mawakili wa cdm watatu, na hilo genge lenu la wanywa gongo. Mbona mnakuwa kama malaya sugu
Mkuu Mkirindi hizi siasa isiwe chanzo cha kukoseana heshima kiasi hiki, tunaharibu JF yetu wenyewe.
 
We knew this but he's finished politically.his membership is surviving by a weak string!!
 
Nahsauri liitishwe mara moja kuja kufanya maamuzi kabla hajazunguka sana mikoani na jambo likiwa la moto bado
 
Sasa kashinda nini wakati alitaka mahakama izuie asijadiliwe?

Ameshinda kwa vile hiyo ndio ilikuwa hoja yake kwamba asijadiliwe na Kamati Kuu bali rufaa yake isikilizwe kwanza na Baraza Kuu. Hata hivyo, kutokana na Katiba ya CHADEMA kwa kwenda mahakamani tu ameshajifukuzisha uanachama. Baraza Kuu haliko juu ya KATIBA. Ila hadi liitishwe baraza kuu atakuwa ameleta damage ya kutosha kwa CCM kumwandalia mikutano ya mapokezi.
 
Zitto ndio alipeleka kesi Mahakamani na yeye amefanikiwa dhidi ya
chadema na kamati kuu (cc). Utaratibu ukoje hapa katika malipo ya kesi.

"Upande wa utetezi umeweka pingamizi leo asubuhi kutolipa gharama ya kesi
ikiwa Zitto atashindwa kesi"

Swali la pili: Je, Zitto kuwashinda mawakili wa chadema hii inatuonyesha nini
kwa wale waliopewa kuongoza kama wanasheria wa chadema??? Viatu walivyo
vaa haviwatoshi au ni uelewa mdogo???
 
Mauzauza matupu...... Uyo ZZK ni kibaraka cha CCM, Serikali ni ya CCM, unadhani watamuangamiza? Zumuni la CCM ni ZZK kubaki chadema hata Kama akiwa mwanachama wa kawaida atatumiwa kujenga makundi ndani ya chama ili kuivuruga chadema.
 
Hii ndo fursa ya pekee ya kumchinjilia baharini fisimaji msaliti kibaraka wa lumumba...Najua kuwa watatumia nguvu kubwa sana kuwahonga wajumbe wa mkutano mkuu lakini watagonga mwamba...vuteni subra...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom