Tatizo watu wengi mnaichukulia AZAM kibongobongo zaidi. Leseni ya AZAM kurusha matangazo ni tofauti (mbinu ardhi ) na ving'amuzi vyote vya kwetu. AZAM wana rights kama za DSTV ama ZUKU na wanalipa kodi ndefu sehemu tofautitofauti. Ukitaka kuwa bold kabla hujaishambulia Azam kumbuka kwamba huduma...
Rais Magufuli is also in record ya kuwasema woote wanaoponda safari za Rais nje... In one if his famous budget summation speech aliomba wabunge waache kumbugudhi Mh JK kwa safari zake kwani ndo zinatupa ulaji. Aliomba rais aendelee mara dufu kwenda nje....what a paradox!
Hayo ni maoni yako na unahaki na uhuru wa kujieleza. Tatizi ninaloliona ni hapo unapojaribu kujichukulia ama kupokonya nafasi na utashi wa wapiga kura.
Gharama za wanafunzi woote elimu ya juu wa TZ kqa mwaka ni bilion 328. Kuna watu wanapiga bilions kila mwaka. Nikuamua tu maana hiyo nibpesa yabmtu mmojaa au 2 tu kwa deal zao
Guys please be advised that..Azam Tv ni Pay Subscription SatelliteTv na sio Terrestial Tv....however ni kweli zote zina visimbuzi but kuna gross difference.
Ni vile tu owner ni mwenzenu na headquarter iko hapa bongo. Otherwise Azam wanaweza kurusha matangazo yao ama base yao kwa kusimika...
Myopic argument. Juu na chini tofauti. Nani alikuambia uzinduzi ufanyika kwa barabara ya Lami tu.? Nikusaidie kidogo...mwezi Oct 1989 Mzee Mwinyi alizindua barabara ya Kibiti Lindi. Swali ni je ilikuwa na Lami?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.