Fluconazole
Member
- Jan 12, 2016
- 6
- 2
Wakuu naomba kwa mweye uelewa wa namna ya kufanya calculations ili kujua idadi ya paving blocks inayoweza kutumika kulingana na mita za mraba za eneo (area per square meter).
Mita ngapi hujaweka, vipi plot iko wapi tuje hapo tupige hesabu.Wakuu naomba kwa mweye uelewa wa namna ya kufanya calculations ili kujua idadi ya paving blocks inayoweza kutumika kulingana na mita za mraba za eneo (area per square meter).
Ili kusema kama ni 30, 40, 50, 60 blocks n.k. per square metre ni muhimu kwanza kujua size ya hizo paving blocks kwani hutofautiana. Lakini kama ni hizi blocks ambazo zimezoeleka kuwekwa na sehemu kubwa ya watanzania basi ni kama mdau alivyoeleza hapo juu yaani 50 pcs per square metre. Kwa hiyo piga hesabu ya square metres za eneo lako unalotaka kuweka hizo blocks kisha zidisha na 50 blocks utapata jumla ya blocks zitakazohitajika.50 blocks per square metre
Na bei inakwendaje kwa block moja au per square meter?Ili kusema kama ni 30, 40, 50, 60 blocks n.k. per square metre ni muhimu kwanza kujua size ya hizo paving blocks kwani utofautiana. Lakini kama ni hizi blocks ambazo zimezoeleka kuwekwa na sehemu kubwa ya watanzania basi ni kama mdau alivyoeleza hapo juu yaani 50 pcs per square metre. Kwa hiyo piga hesabu ya square metres za eneo lako unalotaka kuweka hizo blocks kisha zidisha na 50 blocks utapata jumla ya blocks zitakazohitajika.
15,000 mpaka 24000 per square metre. Depending on quality.na bei inakwendaje kwa block moja au per square meter?
na bei inakwendaje kwa block moja au per square meter?[/QUOT
Kaka naomba unioneshe kwa picture tafadhaliPrice:
Made in Tz :18,000-16,000 TZS per square meter
Made in Nje: 28,000-25,000TZS per square meter
Inategemeana na ubora wa block zenyewe. Tshs 16000 - 50000Na bei inakwendaje kwa block moja au per square meter?
YesInawezekana ukatengeneza mwenyewe kwa aina uzipendazo kwa mashine ya kukodi..
Wasiliana nasi. Abraar Bricks, Nyumba kwa wote. Ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu.Nina Square meter 4000 nahitaji msaada wa makadirio...ubora wa kawaida ni kwenye shule naweka.
Inaweza chukua gharama gani gani?
Na nikinunua mashine nitengeneze mwenyewe?