Membe: Tulikuwa tunagongana angani utadhani nyumbani kuna moto

Ulikuwa na uwezo wa kumshauri Mh. Rais wa wakati huo - Je ulilfanya hivyo? Kama ulimshauri hakusikia je ulichukua hatua nyingine ya kuyasema haya ndani ya Balaza la mawaziri? Kama nako ilishindikana sababu yeye ni mwenyekiti wa kikao, Je ulichukua hatua nyingine ya kuyasema hayo kupitia Bunge? kama hukufanya haya basi sidhani maneno haya yana tija kwa wakati huu.
 
Nimependa uungwaji mkono huo wa ndugu membe, huo ndio
ukomavu wa kisiasa na kidplomasia.

Lakini akiunga mkono asilimia mia moja kwa mia mbili maana ya kimahesabu ameunga mkono kwa asilimia 50.
 
Rais Magufuli is also in record ya kuwasema woote wanaoponda safari za Rais nje... In one if his famous budget summation speech aliomba wabunge waache kumbugudhi Mh JK kwa safari zake kwani ndo zinatupa ulaji. Aliomba rais aendelee mara dufu kwenda nje....what a paradox!
 
Akiwa waziri wa Mambo Ya Nje akuongelea wala kuonyesha jitihada zozote za kuzuia hizi safari! Hivi dhamira zao zinakuwa aziwasuti!
 
Sitaki kuamini hayo maneno yametoka kwa membe hivi hawa ccm wanatudharau sana watanzania ee
 
Rais Magufuli is also in record ya kuwasema woote wanaoponda safari za Rais nje... In one if his famous budget summation speech aliomba wabunge waache kumbugudhi Mh JK kwa safari zake kwani ndo zinatupa ulaji. Aliomba rais aendelee mara dufu kwenda nje....what a paradox!

mkuu ngoja nikwambie kitu hapa labda hujausoma mchezo!!

Magufuli ndo raisi unpopular aliewah kushika madaraka hapa kwetu, kufupi ni raisi ambae hapendwi na wananchi wake kwa % kubwa!

anachofanya Magufuli kwa sasa ni kujaribu kuWIN mioyo ya watanzania, waanze kuamin yeye ndo raisi wao kitu ambacho bado watu hawaamin!!

hii spidi itakata kabla hata hatujamaliza mwaka huu 2015, na atakapojua kuwa bado watu hawampend km walivopendwa maraisi wenzake wastaafu ktk awamu zao za kwanza ndo utauona uhalisia wa MAGU

now, they ar just playing with our minds like toys! soon they wll reveal their true intent
 
Dah..wanasiasa wana mambo ya ajabu sn siwalisema kuwa safar hizi zina manufaa makubwa kwa taifa!
 
Kwa hiyo Membe ana kibali cha ku clarify kauli ya rais!? Eti oh rais hajakaza foreign affairs kusafiri, wao wataendelea kukwea pipa kama kawa! We membe vipi, tulia huko, alaaah.
 
mkuu nchi ina wanafiki hii we sikia tu

Mambo ya kumtumikia ------ ili uopate mradi wako ndio yanawafanya wengine kuwa wanafiki?!
Membe kaona hana lake awamu ya 5 anaanza kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa!

Ashukuru maana nae ni mmojawapo wa waliofaidika na safari zisizokuwa na tija (amekiri kwa kauli yake kuwa walikuwa wanagongana hewani kama vile Tz kulikuwa kunawaka moto!!)

Sasa akae benchi na kuisoma namba!
 
Hapo ni kwa vile yeye hayamhusu tena! Anaona hata wakifutiwa hizo safari yeye hataathirika! Watu wanafiki bwana!!
 
Hapo ni kwa vile yeye hayamhusu tena! Anaona hata wakifutiwa hizo safari yeye hataathirika! Watu wanafiki bwana!!


haaa kumbe, walioko serikalini na ambao ratiba ilikuwa inaonyesha kwa mwaka watasafiri mara 5 waje hapa tujadili
 
Mnaweza kuona tunatawaliwa na watu wa namna Gani hivi MEMBE ni MTU wakuongea upuuzi huu namna hii ndio inafanya sisi wengine tuendelee kuikataa CCM hata kama OBAMA tagombea kupitia hicho chama huku nikuwadharau watanganyika....
 
Back
Top Bottom