Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Siyo ajabu kufukuzwa.hamad no mtu asiyeyumbishwa
He kumbe haikuwa kauli ya chama chake ile!!!!1 Huyu atafukuzwa kila mahali!!!!Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ADC Zanzibar amevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuunga kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi zanzibar ZEC, Bwana JECHA.
Dhambi ya usaliti malipo ni hapa hapa duniani.
..Mungu ahesabu makosa ya binadamu yeyote.ni hivi , ukubwa wa laana ya usaliti umewekwa wazi sana ndani ya vitabu vitakatifu , hapo bado , kwa mujibu wa maandiko matakatifu yatamfika makubwa zaidi , shukrani zimwendee Mwenyezi Mungu ambaye aliweka utaratibu huu miaka mingi iliyopita .
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ADC Zanzibar amevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuunga kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi zanzibar ZEC, Bwana JECHA.
Dhambi ya usaliti malipo ni hapa hapa duniani.
Chizika mzemba; sasa ndio nini hii?!Source we mwenyewe, mtu ambaye sijawahi kukuamini. Hamad anawanyia uchingizi eeeeeh
hakuna nilipoandika Mungu anahesabu makosa , nisome tena ...Mungu ahesabu makosa ya binadamu yeyote.
Na ukikosa wa kumsaliti utajisaliti hata mwenyeweDhambi ya usaliti ni mbaya sana...
Popote utakakoenda itakufuata na kukutafuna tu...