KISA CHA MAWIO, MWANAHALISI WAANZA KUTIA MAJI

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,745
22,475
Ndugu wadau Asalaam aleukum!,Tumsifu Yesu kristu,Bwana Yesu atukuzwe, mambo vip?
Natanguliza shukurani tujadili pamoja
Waingereza wanasema;
THE INFORMATION IS POWER!
Ndio maana serikali huwa ipo makini sana kuzuia taarifa zisitoke kuwafikia wananchi, Tena wakati mwingine huweka sheria Kali za kuwabana watoa habari, yote hufanyika kwa ajili ya usalama wa Taifa,
Kuna uvumi pia uliopo mtaani kuwa ...wakati mwingine gazeti flani linapotoa taarifa nyeti, serikali huwa inatumia kila njia kuzuia magazeti hayo yasisambae hata kwa kuyanunua magazeti yaliyo kijiweni kiasi kwamba gazeti hilo ukichelewa kulipata by saa 4 asubuh hulipati!
Anyway by the way kuna magazeti mengi yamefungiwa ama kufutwa kabisa kama Hivi juzi gazeti la MAWIO..n.k
Sasa je ni kweli wenye magazeti hayo hawaelewi taratibu walizopewa na msajili au hapa tatizo huwa ni nini?
 
Sheria yoyote kama inaanza au inaishia au inasema neno... NA ATAKAVYOONA FULANI INAFAA... ni mbaya sana.. Hapo inatoa mwanya wa matakwa binafsi kutekeleswa kwa kutumia sheria hiyo. Kimsingi maneno hayo yanayegemea sana utashi wa mtu mmoja. Kama mtu huyo akiwa hana taarifa sahihi au mazingira sahihi ya kutoa maamuzi, then hata maamuzi hayatakuwa sahihi
 
THE INFORMATION IS POWER!

Anyway by the way

Nisaidie tafadhali.....naona hapo umeniacha!

Sijaelewa kabisa hizi grammar!!
 
Back
Top Bottom