Hawa ni wachafu kifupi whites wa wapi hao , hotel ulaya zina bomba la kujisafisha , plus tissue hata kwenye nyumba zao...UNAKAA NA DEMU KWENYE MATATU ANATOA HARUFU KALI BALAA
Ukiwa mgeni katika nchi ya hawa majamaa especially kwa sisi WATANZANIA, ambao ni watu waastarabu na wasafi kwa huo ukanda wa afrika mashariki.
HATA KAMA UMEFIKIA HOTEL UNALIPA MILION YA KITANZANIA CHOONI HAKUNA BOMBA LA KUJISAFISHIA UKIMALIZA HAJA KUBWA NI MWENDO WA MA TISSUE PAPER TU, yaani...
Hii ishu ilikua inaenda kimya kimya si watoto wa kino tunajua hali halisi , wana kibao sasa wamepotezwa ....KIBWETELE KIMYA ILIKUA AKIDANDIA LEO SAA NNE SAA NNE NA NUSU KASHATOKA , LEO NADHANI UNAENDA MWEZI WA NANE SASA AKIELEWEKI kanyaga twende magufuli
Edo kumwembe umeandika article moja safi sana , hapa manyanya ndo maskani yake anakuaga na lord eyes wa nako 2 nako sema yeye lord garo bado haijawaka vizuri u smart u smart bado upo lakini mwili ndo unaisha sasa ,
Walichokifanya Barclays bank ni kufanya branc merging hali yao ni mbaya sana wamefunga tawi la kinondoni pale karibu na kinondoni muslim, mwenge , na pale mikocheni chama wameshindwa kuendesha ndo wamefungua tawi ilo moja ... mimi ni client wao na nikifanya mihamala yangu sana hapa kinondoni na...
Makafara ya mwisho wa mwaka hayo .... na mtakuja kuniambia hapa leo lazima afe mtu au watu pale jangwani see breeze , mungu ninusuru na hizi pesa za mashetani
Mkuu nkuwi unaposema msama ni system una maanisha nini au ni hivi tunavyoelewa mtaani huku ukisema jamaa ni system una maanisha ni mtu wa usalama wa taifa !! We una maanisha nini ??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.