Nyandu Tozi aka Dogo Hamidu unasema??

Hii ishu ilikua inaenda kimya kimya si watoto wa kino tunajua hali halisi , wana kibao sasa wamepotezwa ....KIBWETELE KIMYA ILIKUA AKIDANDIA LEO SAA NNE SAA NNE NA NUSU KASHATOKA , LEO NADHANI UNAENDA MWEZI WA NANE SASA AKIELEWEKI kanyaga twende magufuli
 
Siku emba Anachukuliwa pale mm nlikuwepo kwenye grocery Ile pembeni ya saloon
Picha yote niliona...... Dogo yule kamponza mama yke tu........... Na mama yake siku Ile alitakiwa kuwa mpole awaache wazee wafanye Kazi yao

Ova
 
Funguka Mkuu Ova....Ngada bado ipo kweli Kino?
 
Kweli maisha ni zaidi ya ujuavyo. sasa hivi dogo hamidu anamtuma mr.blue kama mtoto wake vile dah!..pesa ni kitu kingine. eti "ulikuwa wapi hadi sa hizi eeh? si ninakuuliza wewe blue". hahahaaa...!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Siku emba Anachukuliwa pale mm nlikuwepo kwenye grocery Ile pembeni ya saloon
Picha yote niliona...... Dogo yule kamponza mama yke tu........... Na mama yake siku Ile alitakiwa kuwa mpole awaache wazee wafanye Kazi yao

Ova
alikamatwa na mzigo??
 
Kweli maisha ni zaidi ya ujuavyo. sasa hivi dogo hamidu anamtuma mr.blue kama mtoto wake vile dah!..pesa ni kitu kingine. eti "ulikuwa wapi hadi sa hizi eeh? si ninakuuliza wewe blue". hahahaaa...!!
acha fix
 
Noma sana!
 
Back
Top Bottom