Recent content by Mnumbe

  1. M

    Tanga natamani kuishi apo tokea jana baada ya Lowassa kuhutubia

    jamani salama kwakweli tokea niwaone watanga walivyo mpoke mh.lowasa jana sasa natamani niende nikaishi tanga nikaoe na kujenga tanga ivyo naomba kujua bei ya kiwanja maeneo ya mjini kusiwe mbali na mjini chenye ukubwa wa mt.20 kwa 20 na kujua pia bei ya kupanga duka apo mjini ni bei gani kwa...
  2. M

    Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    sasa kwa kuona jana uko tanga walivyo mpokea mh.lowasa kwa kweli nimewapenda natamani nikaishi kujenga na kuoa mke wa tanga sasa embu nipeni bei ya kiwanja sasa chenye ukubwa wa mt.20 kwa 20 apo mjini au pembeni yake kidogo nataka kujua pia maduka ya apo mjini linakodishwa bei gani kwa mwenzi...
  3. M

    Zitto, Kafulila washambuliana

    uyu zito abari yake kwenye siasi ndio ivyo tena keshapitwa na pesa nazo zimemwishia tayari ivyo tunasubiri bahada ya risasi yake ya mwisho kwenye ubunge anaangukia pua alafu aendae zake akatafute kitu kingine cha kufanya
  4. M

    Nikaione hali ya Godbless Lema Arusha

    kwa ujumla ngoja nitoe picha ya kisiasa apa ar.ili mtu ambae akai ar. Aelewe kuna nini ni ivi ar. Akunaga ccm ukikuta m2 anashabikia ccm uyo ujue ni mpangaji kwenye nyumba zao apa mjini za kibiashara au yupo kwenye sistimu na pia ata ar. Lema ajafanya chochote toka achaguliwe na wananchi...
  5. M

    Huyu Lowassa si mtu wa kawaida, sasa nimeamini

    aliye anzisha hi stori kwanza inawezekana akawa yeye sio mwanaukawa pili analengo baya mahana uwezi mfananisha binadamu yeyote wa dunia ya leo na mtume muhad pili ata sisi wapenzi na wakereketwa wa Raisi wa awamu ya tano mh. Lowasa inafaa tuwakanye watu kama awa ambao inaonekana lengo lao sio zuri
  6. M

    Rais wetu mpendwa the great Lagwanani mzee Edwardo Lowassa kutikisa Karagwe Mjini Kayanga

    mungu ambariki lowasa na awabariki ukawa watuongoze vema
  7. M

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    aise kwaiyo uyo jamaa keshapewa zile pesa za ccm
  8. M

    GE2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    sasa apo ni sifa lowasa punguza misifa na wewe du sasa ngoja uyo pombe tunamsubiria ar. Aone atakavyo toka na aibu maana sisi uku tunakula pesa za magambazi na kwenye mkutano wake tunaenda kumpigia pipooooz pawaaa za kutosha na kura azipati ng,o
  9. M

    Pigo la kwanza: Arusha mjini na Hai kurudi CCM!!

    uyu alianzisha uhu uzi lazima atakuwa ni demu wa makufuli na atakuwa lazima ajaishi tz miaka ya ivi karibuni wala aijui arusha uyu ccm uku akunaga wamebaki wapangaji ndani nyumba ambazo ccm wanadai ni zakwao ila natumaini lowasa atalifanyia kazi baada ya tr.25
  10. M

    Busisi- feri yavusha gari moja tu la mkuu wa mkoa

    aise mlifanya vizuri ila poleni sana kwa kuchelewa kufika safari zenu kama ni kweli
  11. M

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Huyu Slaa sasa sijui ataenda wapi maana hata akifanya biashara najua awezi sasa labda akafuge nguruwe na machatu kule karatu na mimi najua uyo demu wake lazima atamkimbia tu akatafute bwana mwingine.
  12. M

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    hata wasipo onyesha ujumbe ushafika kwa wahusika na kama uyo slaa na ccm yao wanaubavu embu mamjibu mh.gwjima gwajima oyeeee mabadilikooo lowasa
  13. M

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    gwajima nimemkubali na nimemuelewa vizuri sana ila wale wanao fanya siasa uchwara kutoka kwa wakoloni na chama chao cha kifisadi watajifanya awajamuelewa na ndio wanabisha uku ila wajue mwaka huu watakabizi madaraka kwa mzee
  14. M

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    wewe ndio shehee au wewe ndio yule mzee uliye zomewa pale wakati gwajima anaongea alafu pia unatakiwa kujua ukawa ni mali ya wananchi
Back
Top Bottom