Nikaione hali ya Godbless Lema Arusha

Nikaione hali ya Godbless Lema Arusha

Status
Not open for further replies.
Niko njiani kwenda Arusha kuhudhuria Semina za kiwakili na Mkutano wa nusu mwaka wa Mawakili utakaofanyika tarehe 26 mwezi huu. Nitakuwa Arusha hadi Jumapili ijayo.

Uwepo wangu Arusha utanipa fursa ya kuona hali ya kisiasa ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema dhidi ya Monaban wa CCM kuelekea uchaguzi wa Oktoba 25. Hodini wanaJF wa Arusha.

arusha wameshasahau hii kitu inaitwa ccm ukiongelea hiyo unawatonesha vidonda
 
Ukitaka mikutano ya lema itakubidi ukeshe sokoni na stand.

Mandhari ya jiji la Arusha ni bendera za ccm na magari ya matangazo ni ya ccm tu.

lema kapigwa na butwaa na mbaya zaidi ameshindwa hata kutekeleza agizo la mamvi la kwenda Tanesko kufuatilia umeme.

Mwisho wa lema Arusha umefika kwani hana alilotekeleza zaidi ya kuongoza maandamano tu akishirikiana na wafanyabiashara ndogondogo kutoka moshi.

Ambulance aliyoahidi haijaletwa na ameishia kuchukua ambulance moja kutoka kwa nassari ili kuhadaa umma.

Machinga complex hatujaiona

Hospitali ya mpya ya manispaa hatujsiona

General tyre hakijaeleweka.

Mama ntilie wako vile vile.

Kwa ufupi lema hana alilotekeleza Arusha na Monaban ndio mbadala wake.

Acha uongo wewe hivi umeingia hospital ya mount meru ilivyo kuwa safi na nzur . Lema hana mpinzan arusha mjin Monaban hana lolote mikutano yake imepwaya .
Hizo bendera wameweka juz tu ila si lolote si chochote Kwan bendera ndo zinapiga kura.
Karibu sana wakili .
 
Majimbo 3 ya mkoa wa Arusha yaani Arusha mjini kwa Lema,Karatu kwa Qambalo na Arumeru Mashariki kwa Nassari aka Dogo janja hakuna haja ya kampeni zote ni za CDM

Unaota ndoto za mchana Wewe. Ni kweli msifanye kampeni!
 
Acha uongo wewe hivi umeingia hospital ya mount meru ilivyo kuwa safi na nzur . Lema hana mpinzan arusha mjin Monaban hana lolote mikutano yake imepwaya .
Hizo bendera wameweka juz tu ila si lolote si chochote Kwan bendera ndo zinapiga kura.
Karibu sana wakili .

Ha ha ha yaani hii ndio porojo anayotaka kudanganya nayo watu kweli mmefulia.

Hiyo hospitali iko kwenye mpango maalumu wa kuboresha hospitali za mikoa ili ziwe za rufaa.

Kuna ufadhili wa JHPIEGO hapo.

Isitoshe hospitalo hiyo haiko chini ya manispaa ya Arusha ...manispaa ya Arusha haina hospitali na kwa sasa inatumia st elizabeth.

mwaka huu lazima lema atolewe...LEMA OUT
 
Wakili njoo ujionee hali halisi ya jinsi lema alivyowadanganya wananchi.
 
Mbona kiongozi kuna mtu katuletea taarifa kwamba Arusha imefunikwa bendera za ccm? Sasa kama haipo hizo bendera za nini?

Huyu diwani wa chadema anapata shida kukanusha ukweli
 
Mkuu huku hata kampeni hakuna, inafahamika Lema Mbunge na Rais Ni Lowasa.
 
Mkuu huku hata kampeni hakuna, inafahamika Lema Mbunge na Rais Ni Lowasa.

Kampeni haziwezekani kwa kuwa lema hana cha kuzungumza na kueleweka kwa wana Arusha
 
Bendera zimewekwa juzi tyu ili magufuli akija asijistukie Monaban mwenyewe hatoi hata chakula kwa wapiga mziki wake wanalia njaa.mtaa tyu Kazi ni.kupishana CCM mkoa kila.mmoja hajui nini kifanyike Monaban Ashinde wanangja na kuomba Lowassa akija asimuombee kura Lema ili wapate nguvu...
 
kwa ujumla ngoja nitoe picha ya kisiasa apa ar.ili mtu ambae akai ar. Aelewe kuna nini ni ivi ar. Akunaga ccm ukikuta m2 anashabikia ccm uyo ujue ni mpangaji kwenye nyumba zao apa mjini za kibiashara au yupo kwenye sistimu na pia ata ar. Lema ajafanya chochote toka achaguliwe na wananchi wanasema ccm imetawala miaka 50 awajafanya kitu pia ila pia jamani ar. Watu wengi uku ni wafanya biashara pia kero nyingi ar. Azimlengi mbunge kama tujuavyo katika siasa kuna kero za kutatuliwa na raisi kuna za mbunge kuna za diwani kuna za mw.kiti nk.ila apa lema pia apendwi kiivyo bali cdm ndio kinapendwa na ndio mahana ata ukiweka jiwe apa likaandikwa cdm alafu ccm waweke mtu kwa kweli bado cdm watashinda kero za ar.1)mfumuko wa bei kwenye vyakula 2 kodi za vati kuwa kubwa 3 moto veko bei kubwa 4 kulipia fire ndani ya moto veko alafu upewi 5 polisi trfk kuwa kero apa mjini ar. 6 maji akuna kwa kipindi chote cha miaka 50. 7.bara bara mbovu 8.hosptali akuna dawa 9.shuleni ada zimekuwa nyingi 10.mkuu wa mkoa na polisi kuwa makada wa ccm 11.umeme ukitaka kuweka aupatikani uduma ni mbovu 12viwanda vimekufa vyote nk.na aya yote yanailenga serekali kuu wala sio mbunge wala diwani ndio ivyo tu jamani
 
Niko njiani kwenda Arusha kuhudhuria Semina za kiwakili na Mkutano wa nusu mwaka wa Mawakili utakaofanyika tarehe 26 mwezi huu. Nitakuwa Arusha hadi Jumapili ijayo.

Uwepo wangu Arusha utanipa fursa ya kuona hali ya kisiasa ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema dhidi ya Monaban wa CCM kuelekea uchaguzi wa Oktoba 25. Hodini wanaJF wa Arusha.

Usisahau kutupa mrejesho wa utakachokiona
 
Huku Kuanzia Arumeru zote mbili, Arusha, Monduli, Karatu, Mbulu na Ngorongoro, ni Nguvu ya umma tu. zingine story
 
mkuu mbeya sugu hapig kampen huku hatutak harufu ya gamba

Acheni uongo wakati juzi kati kachezea kichapo toka kwa vijana wa ccm wakati akielekea katika mkutano wake wa kampeni. Sema sasahivi mvuto hakuna. Ile track ya Ufisadi mlioiacha ndio inayowatesa. Sasahivi kila kona ni lowassa na sumaye tuu. Lissu kawa kama bodigadi wa lowassa, mnyika hasikiki, mdee kimya, sugu mwenyewe kasikika juzi tuu baada ya kichapo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom