Zitto aache kupambana na wadogo zake, kwanza anajionyesha kama mtu wa kujisifu, Kafulila katengenezwa na Mungu na siyo Zitto, yeye kama alimsaidia kwanin alete mashambuliz!? Kwani ni lazima kuhamia ACT?
kama wew ulivyo na tabia nzuri ya kumchungulia mama yako showain
Acha upuuzi kulinganisha mambo ya Mungu na huyo fisadi wenu...tambua Paul baada ya kukutana na Mungu ALITUBU NA KUPELEKWA JANGWANI MIAKA MITATU NA NUSU..KULE ALIKUWA ANATOLEWA UJINGA WOTE NDO AKARUDI KUONANA NA MITUME
SWALI: NI LINI LOWASA ALITUBU AKAKIRI KUHUSIKA NA RUSHWA UFISADI MKUBWA HAPA NCHINI??? SIKU ZOTE ANAJIHESABIA HAKI KUWA HAKUFANYA WAKATI HATA MITI NA NDEGE WANAJUA NI FISADI TANGU ENZI ZA NYERERE..ISITOSHE NA WW BADALA YA KUMWAMBIA ATUBU UNAMPIGIA CHAPUO KUWA YUKO SAHIHI..Kitu kama hukijui usiongee unajidhalilisha...
Any way kwakuwa gazeti lenyewe ni lake lazima wampigie promo fisadi wao.
Katika watu wa Hovyo wewe ni No.1
Je? Baada ya kuondoka Lowasa ccm Rushwa na Ufisadi umeisha?
Kama ndiyo.
Je? Chenge, Mwambalaswa, Prof. Muhongo, Prof. Tibaijuka, Ngeleje na Mkapa Kiwira si Mafisadi na Wala Rushwa?
Kama ndiyo.
Je? ilikuwaje wahusishwe na Escrow na Kiwira?
Je? Kwanini Magufuli anahusishwa na Ufisadi wa kuhonga Nyumba?
Je? Bado unaimani na CCM au ni sehemu ya wanufaika?
una ushahidi? au ukisikia maneno unabeba tu kama gari la taka na kuja kutukana watu huku......!!!!!!!!