Busisi- feri yavusha gari moja tu la mkuu wa mkoa

kandawe

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
1,137
809
Tukio hili lilitokea jana kivukoni Busisi,
magari yakiwa yamejazana kivukoni hapo,yakitokea Sengerema,Geita na sehemu zingine uelekeo huo yakiwa mengi yao yakielekea mjini Mwanza. Mara kivuko hicho kilisimama takribani zaidi ya saa moja na nusu huku madreva na abiria kujojua ni sababu gani. Mara baada ya muda gari la mkuu wa mkoa likaja akiwa anatokea maeneo ya Sengerema kuelekea Mwanza. Hapo ndipo tafrani ilipotokea, madreva wote waligoma kuingiza magari yao kwenye kivuko wakisema mvusheni huyo alietuweka muda wote huu. Ikabidi kivuko kimvushe mheshimiwa mkuu wa mkoa peke yake ndipo kirudi kuendelea na malofa na wapumbavu.
kumbe malofa wakijitambua ni hatari sana sababu wao ni kama they have got nothing to loose!!!
 
Duh Mkuu wa mkoa mujinga kamkosedha maghufuli madiwani na wabunge kura kwa ubwanyenye wake tu
 
Mbona ni kawaida hapo busisi hata kama kuna foleni ikija ya serikali au ya ccm imapewa nafasi hata wakati mwingine unaweza tolewa ikaingia gari ya serikali wakati wao hawalipi
 
Mbona ni kawaida hapo busisi hata kama kuna foleni ikija ya serikali au ya ccm imapewa nafasi hata wakati mwingine unaweza tolewa ikaingia gari ya serikali wakati wao hawalipi

poor busiccm, muda wote wameweka watu kisa mkuu wa mkoa? Yeye amekuwa zaidi ya umati wa watu na wengine walikuwa wanawahi airport, hospital, nk.
 
aise mlifanya vizuri ila poleni sana kwa kuchelewa kufika safari zenu kama ni kweli
Waongo wakubwa nyie! Wekeni picha hapa!
Ujinga ujinga tu! Kafanyeni kampeni vijijini! Mwisho wake mtasingizia mmeibiwa kura!
 
Huyu jamaa ni shida sana anapenda mbwembwe zisizo na maana. ya Arusha yaleyale anayapeleka Mwanza. Huyu hata ukuu wa familia hafai
 
Back
Top Bottom