Recent content by mnkola

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Lazaro Nyalandu?

    Jimboni kwake uchaguzi ulishafanyika siku nyingii ccm wale wale
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katoto kangu kanaumwa ugonjwa wa ngozi jamani

    Kama mtoto bado ananyonya inabidi mama pia afanye check up pia ya afya yake
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana naye nimemuachia kila kitu naanza upya kuanza upya si ujinga

    Una safari ndefu sio mombasa tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waraka wa kurudi walimu sekondari waliohamishiwa msingi

    Dah yule mwalimu ndo ashakufa halafu ndo tamko linatoka jamani
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

    Asilimia ngapi za maambukizi ya ukimwi kwa siku moja kati ya miaka 15-24? Kumbuka beki3 hupigi peke ako yupo pia muuza njegere
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usijaribu kumfuatilia Mwanamke!

    Wote tu ni vema kuchunguza mara moja moja hata mwanaume ili ujue namna ya kujilinda au kuanza upya
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa form three anataka kuvunja ndoa yangu

    Vunja ndoa umuoe huyo mwanafunzi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pata mkopo wa gari lipia ndani ya miaka miwili

    Mbona kama maelezo hayajakamilika, vigezo na masharti ni yepi mkuu kabla watu hawa Pm
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Fuga kuku wa nyama kuanzia 450 utapata faida nzuri tu zaidi ya hiyo 500,000 kwa mwezi
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Loh! Mwanaume unataka nanii kila siku

    Kwann usingemwambia unachohitaji kuliko kuchepuka mkuu...umekosea bhana kaeni mzungumze Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Loh! Mwanaume unataka nanii kila siku

    Usimbanie mpe tu tena kwa ushirikiano mkubwa inaonekana huwa unajifanyia tu bora liende ndipo unapokosea...badilika
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Loh! Mwanaume unataka nanii kila siku

    Mhhh ratiba tena ya mara1 kwa mwezi? Ipo shida
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezama kwenye penzi dada wa kazi. Ameondoka kwangu imekuwa kama msiba

    Umesema vizuri sana kwa muelewa ataelewa
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezama kwenye penzi dada wa kazi. Ameondoka kwangu imekuwa kama msiba

    Sasa si ndo umrudishe beki3 ule mzigo vizuri huyo mkeo mkavu mpe talaka akatafute mkavu mwenzake
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezama kwenye penzi dada wa kazi. Ameondoka kwangu imekuwa kama msiba

    Mbona rahisi tu muache mkeo halafu muite beki3 muanze maisha mapya ya ndoa huyo atakupa sk zote safiiii kama mlivokuwa mkifanya for 3yrs
Back
Top Bottom