Waraka wa kurudi walimu sekondari waliohamishiwa msingi

Waraka wa kurudi walimu sekondari waliohamishiwa msingi

Mwilabheghe

Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
30
Reaction score
14
Kuna tetesi kuwa serikali imetoa waraka unaowaelekeza wakurugezi kuwarudisha walimu wa sekondari waliowahamishia msingi kama hawana pesa za kuwalipa. Mwenye kulifahamu hilo Naomba kujulishwa na kama upo nauomba hapa
 
Mbona halmashauri nyingi tu zimeshawarudisha walimu kwenye vituo vyao vya awali
 
Hivi kama mwl.ameshahama,halafu hajalipwa ,huoni ni usumbufu mwingine?
 
Mbona huku kwetu Mwanza wilayan misungwi mpaka Jana watu wamepewa barua za kuhama na wameshaenda kuripoti
 
Ndaliiii
Anakwendaaaa
Anapigaaaa kuleeeeeee laaaaaaa laaaaaa
Ndaliiiiiiiii laaaaaaaa laaaaaasassss
Anakosa kuleeeeeeee!!!!
 
Sio kweli waraka haujatenguliwa au kubadilishwa bado waalim wanazidi kuriport kwa shule zenye waalim wengi serikali imeendelea kusema lazima warudi msingi kwa kuwa serikali haiwezi ajiri waalim wengne wakati kuna ambao hawana kazi. Huyo ndoo professor wa bongo.
 
Back
Top Bottom